Walimu shuleni waongozwe na Walimu wenye Elimu kubwa zaidi ili kupunguza migogoro

Ila Elimu kubwa inaongeza thaman ya mtu, huyu mwenye Elimu kubwa anakuwa na kaheshima kidogo[emoji1] migogoro ipo kwasabu ya kudharauriana

Kwenye Halmashauri kuna ujinga mkubwa sana at mtu mwenye diploma anaongoza mtu mwenye masters na anamuona kama adui
 
Inaumaga sana hyo, halafu nawanakuwaga wakali kwasabu hawajiamini. Mashuleni Kuna vijana wamesoma Ila wanapgwa figisu tu😭 Ila Moto huwa wanauona kazi huwawia ngumu sana
 
Ndo maana migogoro haiishi huko, kuongoza ni uzoefu kazini na maarifa (Elimu) mwalimu mwenye dip. Amkague mwalimu mwenye PhD ya curriculum development, ww unavyoona atakuwa na amani au atakagua kwa ufanisi?
Kwani anamkagua kucha?

Yaani wewe ndio una hiyo sijui elimu kubwa ukaongoze watu?

Labda ng'ombe.

Watu wakiongozwa na kiongozi anayejua uongozi hata akiwa na elimu ya chini kabisa atawaongoza hao wenye elimu kubwa vizuri tu.

Sasa wewe peleka makaratasi yako eti una elimu kubwa ila hujui kuongoza ujionee aibu yake.

Muda woote una watangazia watu wewe ndiye mwenye elimu kubwa,mara mshahara mkubwa kuliko wote pale ndio kuongoza?
 
Na nyny mnao kuja na mameseji marefu mnakuwaga vilaza balaa.🤣 Nyie ndo wazee wakuhonga Ila uzuri wake nasikia Moto huwa mnauona
 
Fikiria mtu mwenye PhD uandae report ya kitaalamu halafu mkuu wa idara mwenye diploma akaifanyie approval, hii ni kuidhalilisha elimu, ndo maana haishangazi daktari feki mwenye elimu ya la saba kutumwa kwenda kutoa ufafanuzi wa vifungu vya mkataba wa bandari mbele ya wanahabari.
Ni nomaa
 
Ila Elimu kubwa inaongeza thaman ya mtu, huyu mwenye Elimu kubwa anakuwa na kaheshima kidogo[emoji1] migogoro ipo kwasabu ya kudharauriana
Yaan mtu ukomae na desa la bachelor miaka 3 had 5, afu anakuja wa Diploma akague? Hivi huo ujasiri wa kukagua anautoa wapii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yeye Degree au Masters imemshinda, anikague mie nn sasa? Si uchuroo huu, ndo maana Elimu inadharaurika hivyo.
 
Kabisaa!
 
Na nyny mnao kuja na mameseji marefu mnakuwaga vilaza balaa.🤣 Nyie ndo wazee wakuhonga Ila uzuri wake nasikia Moto huwa mnauona
Huyo atakuwa mkuu wa idara mwenye diploma, ame base zaidi kwenye uchawa na ndumba😂
 
Watakuwa wanagawana [emoji1][emoji1]
Hawagawani wanachukua huko huko wa juu, yeye anatamba akiwa mkuu wa shule, bas hafundishi ndo raha yake hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawagawani wanachukua huko huko wa juu, yeye anatamba akiwa mkuu wa shule, bas hafundishi ndo raha yake hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee! Akishindiliwa swali moja tu na staff members povu mpka halmashaur 🤣
 
Jua tu kuwa ktk idara ya Elimu hasa kwa Walimu Elimu ya mwisho inayotambulika ni Degree moja. Huko mashuleni hata ukiwa na Masters au PhD ni mbwembwe zako tu hakuna mshahara wa Elimu hiyo. Ndiyo maana hata mkuu wa Shule anatakiwa awe na degree moja ukiwa na 2 ni ziada tu siyo kigezo Cha kuwa mkuu wa shule.
 
Back
Top Bottom