Walimu shuleni waongozwe na Walimu wenye Elimu kubwa zaidi ili kupunguza migogoro

Wewe utakuwa Ile timu ya kupeleka unafiq Kwa boss .. Njaa kali Hela hamna.
Bado mnawasujudu maboss mpaka miaka hii au una Elimu ndogo si ukasome. Basi sawa kesho mpelekee kuku boss wako😄
 
Wewe una akili zipi. Na ajabu hapo ni nini au nimeandika uongo. Basi wewe sema kweli yako. Hivi wewe unafundishia form 6 masters/PhD ya nini. Tena Nikuambie tu 98% ya Walimu wenye masters wamesomea vitu tofauti na masomo yao ya ufundishaji.
 
Hahaaaaa nyie ndo wazee wa vikao... kwa akili hizi ndo maana migogoro haiishi duh! Watu bado wanaakili za kihenga kiasi hiki kweli
Wewe una akili zipi. Na ajabu hapo ni nini au nimeandika uongo. Basi wewe sema kweli yako. Hivi wewe unafundishia form 6 masters/PhD ya nini. Tena Nikuambie tu 98% ya Walimu wenye masters wamesomea vitu tofauti na masomo yao ya ufundishaji.
 
Kuna mbibi frani ana FTC(full technician certificate)in water laboratory,alikua anaongoza mamlaka mmoja hivi ya maji mkoani MOROGORO, huku katika ofisi hio Kuna watu ni wahandisi Wana degree,alooo ilileta shida sana.
 
Form 6 ñdo Nini hicho, unaona Kuna sehem nimetaja masters hapo? Au una allergy na masters, punguza mikopo na ulevi na ww ukasome, Sasa Kama wamesoma inje ya masomo ya kufundishia we inakuhusu Nini huo ndo uchawi wenyewe. Au we ndo mwajiri
 
Tumekuwa tukisikia migogoro ya mara kwa mara baina ya viongozi wa walimu kama vile Wakuu wa Shule, Waratibu Elimu, Maafisa Elimu nk, na Walimu, hii yote nikutokana kuwa either kiongozi ana Elimu ndogo kuliko anaye muongoza au mwenye Elimu kubwa ameachwa ameteuliwa mtu mwenye Elimu ndogo, aisee hiyo lazima ilete migogoro.

Nasema hivyo kwasabu Elimu kubwa huongeza thamani ya mtu.

Nashauri, huko kwenye ofisini/shuleni mtu mwenye Elimu kubwa mpeni promotion, msimuache abaki idle, hii itaondoa migongano ya kiutendaji ofisini.

Haiwezekani mtu mwenye PhD/Masters yupo lakini kwenye ofisi hiyo hiyo anateuliwa mtu mwenye degree moja, kwa hili tunaomba busara zitumike zaidi.

Nawasalimuni kwa Jina la jumhuri ya Muungano, Kazi Ziendelee 🇹🇿
Waongozwe na Walimu waluoitia madrassa.
 
Uteuzi unatokana na Utendajikazi uliotukuka, kuwa na maadili mema yasiyo tia shaka, elimu ikiwa ni sifa ya nyongeza. Kigezo cha kuwa na Kiwango kikubwa cha Elimu ni punje ndooogo katika kufanya Vetting ya mteuliwa. Over
Siyo marazote, kuna Wakati ni kujuana zaidi na anaweza kuwamnafiki Kwa viongozi wakuu. Mbeya zaidi anapewa promo.
 
Kuna mbibi frani ana FTC(full technician certificate)in water laboratory,alikua anaongoza mamlaka mmoja hivi ya maji mkoani MOROGORO, huku katika ofisi hio Kuna watu ni wahandisi Wana degree,alooo ilileta shida sana.
Hahaaaa huyo ukinyosha kidole tu kwenye kikao anampgia simu mganga wake🤣🤣
 
Wewe una akili zipi. Na ajabu hapo ni nini au nimeandika uongo. Basi wewe sema kweli yako. Hivi wewe unafundishia form 6 masters/PhD ya nini. Tena Nikuambie tu 98% ya Walimu wenye masters wamesomea vitu tofauti na masomo yao ya ufundishaji.
We unawaza kufundisha tu, vp Leo umeenda shule hujalewa?
 
Hata rais angekuwa profesa mwenye elimu kubwa... Nyie wasomi ni Kenge ndio maana Msukuma la saba anawapelekesha kama gari bovu
 
Tumekuwa tukisikia migogoro ya mara kwa mara baina ya viongozi wa walimu kama vile Wakuu wa Shule, Waratibu Elimu, Maafisa Elimu nk, na Walimu, hii yote nikutokana kuwa either kiongozi ana Elimu ndogo kuliko anaye muongoza au mwenye Elimu kubwa ameachwa ameteuliwa mtu mwenye Elimu ndogo, aisee hiyo lazima ilete migogoro.

Nasema hivyo kwasabu Elimu kubwa huongeza thamani ya mtu.

Nashauri, huko kwenye ofisini/shuleni mtu mwenye Elimu kubwa mpeni promotion, msimuache abaki idle, hii itaondoa migongano ya kiutendaji ofisini.

Haiwezekani mtu mwenye PhD/Masters yupo lakini kwenye ofisi hiyo hiyo anateuliwa mtu mwenye degree moja, kwa hili tunaomba busara zitumike zaidi.

Nawasalimuni kwa Jina la jumhuri ya Muungano, Kazi Ziendelee 🇹🇿
Nani alikwambia kwamba kuwa na kiwango cha elimu kikubwa ndo kujua kuongoza..???
Primitive thinking kama hizi ndo zinafanya migogoro haiishi huko mashuleni. Jengeni mazoea ya kuheshimu authorities pamoja na rules and laws za institutions mlizopo bila kuangalia personalities za watu wanaoziongoza, that's a way forward ya kuondokana na hayo matatizo yenu.
 
Kwani wewe una Elimu gani, mbona unaonekana Kama mchawi wa wenzio
 
Vijana fanyeni kazi!mtapewa vyeo Kwa kazi nzuri mnazofanya na sio favor au hongo zinazowapelekwa kuto kuwa huru mnaishia kujipendekeza Kwa mabosi zenu.
 
Back
Top Bottom