Walimu shuleni waongozwe na Walimu wenye Elimu kubwa zaidi ili kupunguza migogoro

Walimu mpo darasani mbona mpo kimya sana digba sowey huko mbuzi mnauzaje🤣 uza wa kwako lakini usimwibie mwalimu mkuu😄
 
Shule za Msingi ndio Hali Tete.Mkuu wa Shule form four Tena Ile ya zamani ya 28 ualimu,hapa katikakati wakajazana pale Adult kusoma diploma maalumu Leo ndio wakuu wa Shule.Humo ofisini graduate wamejazana kibao Sasa hapa migogoro lazima.
 
We mburula mbona unakuja na ma essay vp umechanganyikiwa
We mwalimu inaelekea unafunza kichwani. Kama mwalimu una akili kisoda hao wanafunzi wako wana hali gani?
Msongo wa umaskini umekufanya sura ipauke kama tako
 
Kumbuka pia uongozi ni karama,unaweza kua na elimu kubwa ukawa 0 kwenye kuyatazama mambo na kuyatatua,mfano mdogo mtazame msukuma Kule bungeni ndo utaelewa.ukiwa kiongozi sehemu flan unakua pia ni mlezi was watu walio chino Yako.
 
We mwalimu inaelekea unafunza kichwani. Kama mwalimu una akili kisoda hao wanafunzi wako wana hali gani?
Msongo wa umaskini umekufanya sura ipauke kama tako
We jamaa ww unaakili gani kwahyo kila mtu Ni mwl, kila siku unashinda unaandika ma essay humu, ukiona tu uzi roho inakudunda, pomole we
 
Kumbuka pia uongozi ni karama,unaweza kua na elimu kubwa ukawa 0 kwenye kuyatazama mambo na kuyatatua,mfano mdogo mtazame msukuma Kule bungeni ndo utaelewa.ukiwa kiongozi sehemu flan unakua pia ni mlezi was watu walio chino Yako.
Ukiwa unaongoza peke yako(zero team w) bila kujali Elimu yako/yake lazma uongozi ukushinde, shida ni kwamba % kubwa kiongozi anataka afanye kila kitu pekee take. Uongozi ni kutimiza malengo syo kuongea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…