Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa.
Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium. Unakuta baba au mama anafanya kazi muda mrefu, hana muda wa one to one talk na mtoto. Junior anafunguka mengi kwa mwalimu wake.
Pale mwalimu anapopata nafasi ya kumpa mzazi feed back ya maendeleo ya mtoto wake na nini kifanyike kuyaboresha zaidi. Wazazi wengine inawaingia moyoni kuona kuna mwanamke au mwanaume anae elewana na mtoto wake na anaweza kuwa father au mother figure.