Walimu wa English medium wana nafasi kubwa ya kufunga ndoa na wazazi wakina Junior

Walimu wa English medium wana nafasi kubwa ya kufunga ndoa na wazazi wakina Junior

Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa.

Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium. Unakuta baba au mama anafanya kazi muda mrefu, hana muda wa one to one talk na mtoto. Junior anafunguka mengi kwa mwalimu wake.

Pale mwalimu anapopata nafasi ya kumpa mzazi feed back ya maendeleo ya mtoto wake na nini kifanyike kuyaboresha zaidi. Wazazi wengine inawaingia moyoni kuona kuna mwanamke au mwanaume anae elewana na mtoto wake na anaweza kuwa father au mother figure.
Waalimu wa English medium tu, kwa nini isiwe waalimu wa shule zote?
 
Unajua kwa nini wanaliwa sana sababu ni mbili
1. Kiasili mwanamke ameumbwa kuhudumiwa sasa anapokosa mtu wa kumhudumia kifedha, kimawazo au kingono basi ataruka na yoyote yule mwenye access nae ili tu atimize mahitaji yake. Hapo ndipo bodaboda na wauzaji wa rejareja wanapotake over coz ndiyo makundi yaliyopo karibu na single mamaz.

2. Sababu nyingine ni stress za maisha, single mamaz wengi wana stress za either kubakwa utotoni, kutelekezwa na mzazi mwenza, kifo cha mzazi mwenza au wakati mwingine kunyanyasika kisa tu ana mtoto asiye na baba. Yote haya hupelekea kuwa na stress ambazo zinamfanya alike kirahisi. Hapo napo bodaboda na wauzaji rejereja ndipo hupata gap la kula mzigo.

Siyasemi haya kwa kusimuliwa, niliwahi kula single mamaz watatu kwa sababu tu ya kuwabebea watoto wao kuwapeleka shule na boda yangu, pia nimewala wengie wawili kwa sababu tu ya kuwaletea zawadi na kuwaonyesha upendo wa kibaba kwa watoto wao.

Yote niliyokua nikiyafanya yalipaswa kufanywa na baba, sasa kama hayupo ni nani atatake cover?
Kwahio ulitembea na chaki ukalamba mzigo😅😅😅!?!
Ubaya wa single maza ukimpenda mwanae tu anakupa mzigo
 
Uzuri hata hao wasiosingle momz mmeshindwa kuwaoa,mnasubiri wadake mimba mje muwasimange huku.Sky tumekuelewa mada yako ila watu wamewakazia sana single momz
 
Mada imelenga Jinsi zote ila watuhumiwa wakuu wamekuwa Singo Mazaz. Tuwapumzisheni kidogo kipindi hiki tukiwa tunasubiri bei elekezi ya bia
 
Ni jinsia zote mpendwa, kuna makaka waheshimiwa sana lakini wako single. Wakimpata mtu anae elewana na watoto au mtoto wake anakua na piece of mind.
Uongoo 😂😂😂
 
Ni jinsia zote mpendwa, kuna makaka waheshimiwa sana lakini wako single. Wakimpata mtu anae elewana na watoto au mtoto wake anakua na piece of mind.
kama mimi nlivyompata daktari wa kike,sababu tu ya kumtibia mwanangu vizuri so ili kuboresha mahusiano ikabidi nimle tu mzigo dadeki zake. aliona kama ni single faza ninayejali afya ya mtoto... inshort alinionea huruma.. wanawake wanajua hii
 
Back
Top Bottom