DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa hao waliaamu kama ni kweli wanatofauti Gani na nguruwe vichwani?Nimetapika sana
Walimu wa hovyo. Huwezi kupenda ukiona mwanao anafanyiwa hivi

Sio kitendo cha kibinadamu. Adhabu ziko nyingi sana


Chunguza sana humu mtandaoni kina watu vichwa maji
 
Hao walimu mnawaonea bure. Kwa nini mtoa mada usishauri miundombinu mf sehemu ya kuchomea taka ijengwe kama haipo au wanafunzi waelimishwe madhara utupaji horera ya ped iliyotumika.

Tujiulize pia kuwa, mwalimu afanye nini kama sehemu sahihi ya kuweka hizo ped chafu ipo na wanafunzi kwa makusudi wanatupa huo uchafu sehemu isivyostahili?

Kama ulisoma shule za bweni tena za serikali, utakuwa unaelewa usumbufu wa wanafunzi unaofanywa kwa makusudi ili kuwakomoa walimu au kujitafutia umaarufu.

Tusikose fadhila kwa walimu kwa kukosoa na kubeza kazi nzuri wanazofanya licha ya kuandamwa na changamoto lukuki za kimaisha.
Hakuna mwenye chuki na walimu


Naona walimu mnatetea sana makosa ya walimu wenzako

Ni sahihi watoto kipewa adhabu, ila kwa yule mwenye kosa. Shuleni ni sehemu ya kwenda kujifunza, na sio masomo ya darasani tu hata usafi ni somo

Namna ya kuwafundisha watoto lwa kushika pedi yenye damu ni ya kijinga. Kuna watoto hapo hawajanawa mikoko na sabuni, hii unamhatarishia maisha yake

Kosa limefanywa na walimu hapo Rasesa. Inapobidi kupongezwa itapongezwa na pa kukosoa tutakosoa


Low level minded teacher
 
So far swala like reported kwa vyombo husika nadhani taratibu nyingine zinafatwa.

Thread closed
 
Back
Top Bottom