DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unafananisja kuokota karatasi na kushika pedi chafu iliyotoka chooni. Ni nani asiyeokota karatasi au kufanya usafi mazingira ya nyumbani?

Wote sisi tulifanya usafi mashuleni
Mambo mengine mkuu ni vizuri tukaendelea kupishana mawazo. Ila upande wangu kuokota pedi au kushika ni sawa kabisa hasa kwenye upande wa adhabu
 
Mambo mengine mkuu ni vizuri tukaendelea kupishana mawazo. Ila upande wangu kuokota pedi au kushika ni sawa kabisa hasa kwenye upande wa adhabu
Inakuaje bwana afya aje unapofanya kazi, akute mtu mmoja mpuuzi kanya hajasafiksha choo.

Kwa adhabu awaambie wote msafishe choo na mikono? Waanze na wewe kwa sababu ni mkubwa ulishindwa kuwafundisha wenzako wadogo

Ni sawa?

Ukiona ni sawa basi nakubali kuwa tumepishana mawazo
 
Zaidi ya miaka 25 iliyopita. Tulishikishwa pedi na mwalimu Vida, hakuna aliyelalamika na sidhani kama kuna ambae alimsimulia mzazi wake.
Ilisaidia kukomesha tabia ya kutupa pedi hovyo hovyo na vyoo havikuziba tena.
Hakuna ukatili wowote hapo.
yaani mijitu inatetea upuuzi, walah Ccm bora iongoze nchi milele
 
Back
Top Bottom