Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Me, sema sasaHebu kwanza...
Wewe ni ke au me? Ili twende sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me, sema sasaHebu kwanza...
Wewe ni ke au me? Ili twende sawa
Haziungui na Moto wa kawaida hua unazimwagia diesel au petroleumNachoma moto
Kutupa pedi chooni labda kiwe choo cha shimoWewe kila Mwezi unachoma Pedi au unatupa Chooni?
KinajaaKutupa pedi chooni labda kiwe choo cha shimo
Pedi aina zote zinachomeka. Na tunafundishwa hivyo kuanzia shule ya msingi kwamba tuchome moto na si kuzitupa jalalani wala kutupa ndani ya choo labda tu iwe ni choo cha shimo.Me, sema sasa
unaishi dar sehemu gani?kimara ee?Sijawah dharau mtu
Wewe unatumia aina ipi?Kwani huko pande zenu wanatumia aina gani ambazo hazichomeki?
Bonyokwaunaishi dar sehemu gani?kimara ee?
sichati naweweBonyokwa
Aina zinazopatikana bongo nimewahi kutumiaWewe unatumia aina ipi?
Sema dadaMnashangaa pedi, huko jkt mdada alikunya bafuni, kilichofuata ni aibu kukisema hapa.
Unapelekaje mtoto kwenye shule ya mwalimu mpumbavu kwa mujibu wako lakini , ushauri ni huu tafuta hela hakuna shule ya maana mtoto anatumwa ua wala mti ,tafuta pesa,unatuletea hadithi za uvivu wa kufikiri eti nililuwashia mwalimu moto,katafute hela shule zipo za ada hata laki mbili kwa miezi mitatu hawatumi maua na miti.Serikali inatakiwa iwapime walimu akili kama ziko sawa. Hawa walimu tunawqachia malezi ya watoto badala ya kujenga watoto wakawaharibu
Juzi hapo nilitoka kumwashia moto mwalimu mmoja wa darasa la tano. Aliwatuma watoto walete miti shuleni (ipandwe shuleni), sasa mtoto (related to me) akapeleka ua. Yule mwalimu alimtandika sana mtoto wa darasa la tano kwa kosa la kuleta ua na sio mti
Mtoto kurdish kulalamika kesho nikaamkia saa kumi na mbili kuhoji kwa nini amchape mtoto kwa kukosea kuleta ua baadala ya mti?
Akajiby mbovu, nusu nimkate makofi kama wasingeingilia walimu wengine kati. Nikamwita mwalimu mkuu kumhoji pia.
Nikamweleza kuwa kama mtoto kakosea kuleta mti kwa nini hakunfundisha? Kwa sababu watoto wengi wa mjini hawajui tofauti ya miti na maua.
Nikataka kuitisha shule nzima watoto huku nimeshika mhindi wautambue. Nikamweleza mwalimu mkuu nina uhakika nusu ya shule hawatatambua kama huu ni mhindi. Kama anabisha awaited watoto watambue.
Mwalimu mkuu akasema kweli sina haja ya kuita shule nzima watoto waliokulia mjini hawajui miti kama watoto wa vijijini. Mwalimu alikosea kumchapa mtoto angemfundisha
Yule mwalimu ni mpumbavu sana.
Ingekuwa shule ya wakatoliki wanashika vizuri tu na ukilalamika chukua mtoto wako peleka kokote utakapojisikia hawafugi ujinga ,uliza watoto waliosoma shule za katoliki wakifanya ujinga wa kuziba choo kwa pedi wanazibua wenyewe na hakuna wa kulalamika ,ndio maana watoto wanatoka shule wanajua kulima ,ikibidi kufuga ,na division one ipo.Masister na mapadre wako mbele ya muda sana .Wasalaam
Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni wameshikishwa pedi chafu
Kisa kenyewe ni hiki kilichotokea shule ya Rasesa Secondary School huko Rawia Marangu
Choo cha shule kiliziba, na hii inatokana na watoto wa kike kutupa pedi chooni. Walimu walikerwa na hili sana sana
Muhusika wa kauzibua choo aliitoa ile pedi ikawekwa kwenye ndoo. Watoto wote wa kike kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne wakaitwa kwa majina hadharani.
Waalimu wakaamrisha kila mtoto wa kike ashike ile pedi iliyopo kwenye ndoo na mkono wa kulia kama adhabu siku nyingine wasirudie kutupa chooni.
Nimemshauri mama mdogo alifikoshe holi swala kwa afisa wa elimu.