DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tumeletewa taarifa ya watoto kushikishwa pedi,taarifa za kiafya hazikuja na wala mimi sipo huko kuthibitisha.
Ila Epidemiologically kuna great chance ya hao kupata magonjwa mbali mbali.
Nilishawahi kupewa hiyo adhabu kwahiyo naijua vizuri, pedi haishikwi kama mkate..unashika kwa tips za vidole ile kusikia kinyaa..mnapanga mstari mnapokezana...baada ya hapo mnanawa mikono vizuri na sabuni.
Magonjwa inawezekana lakini sio kwa kiasi kikubwa.
 
Nilishawahi kupewa hiyo adhabu kwahiyo naijua vizuri, pedi haishikwi kama mkate..unashika kwa tips za vidole ile kusikia kinyaa..mnapanfa mstari mnapokezana...baada ya hapo mnanawa mikono vizuri na sabuni.
Magonjwa inawezekana lakini sio kwa kiasi kikubwa.
Tuna uhakika gani kama huyo mwalimu aliwashikisha kwa ncha za vidole ama mkono mzima?
Tuna uhakika gani kama baada ya hapo aliwapa sabuni wanawe mikono?
 
Wasalaam

Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni wameshikishwa pedi chafu

Kisa kenyewe ni hiki kilichotokea shule ya Rasesa Secondary School huko Rawia Marangu
Choo cha shule kiliziba, na hii inatokana na watoto wa kike kutupa pedi chooni. Walimu walikerwa na hili sana sana

Muhusika wa kauzibua choo aliitoa ile pedi ikawekwa kwenye ndoo. Watoto wote wa kike kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne wakaitwa kwa majina hadharani.

Waalimu wakaamrisha kila mtoto wa kike ashike ile pedi iliyopo kwenye ndoo na mkono wa kulia kama adhabu siku nyingine wasirudie kutupa chooni.

Nimemshauri mama mdogo alifikoshe holi swala kwa afisa wa elimu.
Wewe mtoa mada ni nani..? Mwalimu, Mwanafunzi au mlinzi uliyekosa kazi za kufanya..?
Hakuna cha kujadili hapo, watoto waache upuuzi.
 
Shule yangu ya ordinary level tulikuwa tunatoa karatasi kwenye masink kwa mikono tena bila hofu. Mwalimu mwenyewe alikuwa anatoa kwa mikono yake (mwalimu kaboja r.i.p nsumba secondary) karatasi na mawe kwenye masink, sasa wewe hapo si ungeenda hadi kwa rais kumueleza. Kumbuka mtoto akifundishwa usafi atachukia uchafu. Ni hatari sana kufundisha watoto wa wazazi kama wewe ☹️
 
Vyoo vya shule hudekiwa kwa sabuni kila siku na sabuni huua bacteria na vijidudu vingi vya magonjwa. Kwa akili ya kawaida ilikuwa sawa mwalimu angezitoa hizo pedi na asifanye chochote kwa wanafunzi?
Bacteria wanauliwa juu ya sink kwani ni ndani ya shimo la choo!?
Kwa hiyo hata maji yaliyo ndani ya sink ni safi kwasababu choo hudekiwa!?
Nilishatoa mfano wa adhabu jengefu kule juu rudi ukazisome mkuu.
 
Tuna uhakika gani kama huyo mwalimu aliwashikisha kwa ncha za vidole ama mkono mzima?
Tuna uhakika gani kama baada ya hapo aliwapa sabuni wanawe mikono?
Next time waambie watoto warekodi ili ushahidi ukae vzr. Lkn hiyo adhabu iko poa sana na iendelee milele na milele amina.
 
Wasalaam

Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni wameshikishwa pedi chafu

Kisa kenyewe ni hiki kilichotokea shule ya Rasesa Secondary School huko Rawia Marangu
Choo cha shule kiliziba, na hii inatokana na watoto wa kike kutupa pedi chooni. Walimu walikerwa na hili sana sana

Muhusika wa kauzibua choo aliitoa ile pedi ikawekwa kwenye ndoo. Watoto wote wa kike kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne wakaitwa kwa majina hadharani.

Waalimu wakaamrisha kila mtoto wa kike ashike ile pedi iliyopo kwenye ndoo na mkono wa kulia kama adhabu siku nyingine wasirudie kutupa chooni.

Nimemshauri mama mdogo alifikoshe holi swala kwa afisa wa elimu.
Wanajua watoto wenye tabia chafu lakini hwawasemi

Hizi adhabu ni mpya kwa gen Z lakini zilikua common enzi zile generation was strong
 
Shule yangu ya ordinary level tulikuwa tunatoa karatasi kwenye masink kwa mikono tena bila hofu. Mwalimu mwenyewe alikuwa anatoa kwa mikono yake (mwalimu kaboja r.i.p nsumba secondary) karatasi na mawe kwenye masink, sasa wewe hapo si ungeenda hadi kwa rais kumueleza. Kumbuka mtoto akifundishwa usafi atachukia uchafu. Ni hatari sana kufundisha watoto wa wazazi kama wewe ☹️
Ndio maana watoto wa siku hizi wapo kimayai mayai..ni kutokana na malezi wanayopewa.
 
Hapana hakuna alternative way ambayo wataikumbuka vizuri. Utakuta hivi vyoo vinaziba every day, wakiulizwa wanakataa wote, halafu wazazi mkija mnalalamika kuwa shulke ni chafu. Hii ni adhabu mujarabu kabisa, believe me you, hawa watoto hawatarudia tena, na watamkemea yeyote wataye ona amefanya hivi.

Usicheze na mafunzo kwa vitendo, ndio njia bora zaidi ya kufundisha vijana wetu mahiri.
Hakuna alternate way au UMEISHIWA MAARIFA?
 
Bacteria wanauliwa juu ya sink kwani ni ndani ya shimo la choo!?
Kwa hiyo hata maji yaliyo ndani ya sink ni safi kwasababu choo hudekiwa!?
Nilishatoa mfano wa adhabu jengefu kule juu rudi ukazisome mkuu.
Ni sawa mkuu kumbuka choo kikiziba itapelekea wanafunzi kujisaidia hovyo hadi kwenye corridor, mbinu waliotumia walimu ni nzuri ili siku nyingine tabia hiyo isijirudie. Wanafunzi wanapojiunga na masomo shuleni hufunzwa sheria za shule, mazingira ya shule na namna ya kuishi shuleni lakini bado kuna wanafunzi ni wakaidi. Mleta mada anapaswa afungue uzi mwingine kutetea wafungwa kulala na vinyesi Lock up 😀
 
Sawa mkuu japo kuna adhabu jengefu zaidi ya hiyo iliyoletwa.
 
Shule yangu ya ordinary level tulikuwa tunatoa karatasi kwenye masink kwa mikono tena bila hofu. Mwalimu mwenyewe alikuwa anatoa kwa mikono yake (mwalimu kaboja r.i.p nsumba secondary) karatasi na mawe kwenye masink, sasa wewe hapo si ungeenda hadi kwa rais kumueleza. Kumbuka mtoto akifundishwa usafi atachukia uchafu. Ni hatari sana kufundisha watoto wa wazazi kama wewe ☹️
Unafananisja kuokota karatasi na kushika pedi chafu iliyotoka chooni. Ni nani asiyeokota karatasi au kufanya usafi mazingira ya nyumbani?

Wote sisi tulifanya usafi mashuleni
 
Back
Top Bottom