Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Yaaaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas mistress anashikisha wotee huo uchafu mjisikie vizurii. Woiiiih
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas mistress anashikisha wotee huo uchafu mjisikie vizurii. Woiiiih
Kuna namna ya kuwafundisha kwa vitendo. Ila sio kushika pedi ya mtu chafu, yenye damu na imedumbukizwa kwenye maji ya choo
Hakukiwa na alternative way of teaching them?
Unaonaje hapo unapokaa na kutupa pedi chooni, wakushikishe wewe na wenzako wote kama fundisho ?
amitriptyline nimekula sana hii vidonge 🤣🤣Mkuu, nipo kwenye dose ya Amitriptyline. Mirembe nimetoka.
Huyo related wako ni kiazi kama viazi vingine tu. Kwani mjini hakuna maua? hakuna miti? Au hakuna vyote kwa pamoja? Hapo ndyo pa kustuka kumbe hakuna mtu hapo kwa familiaSerikali inatakiwa iwapime walimu akili kama ziko sawa. Hawa walimu tunawqachia malezi ya watoto badala ya kujenga watoto wakawaharibu
Juzi hapo nilitoka kumwashia moto mwalimu mmoja wa darasa la tano. Aliwatuma watoto walete miti shuleni (ipandwe shuleni), sasa mtoto (related to me) akapeleka ua. Yule mwalimu alimtandika sana mtoto wa darasa la tano kwa kosa la kuleta ua na sio mti
Mtoto kurdish kulalamika kesho nikaamkia saa kumi na mbili kuhoji kwa nini amchape mtoto kwa kukosea kuleta ua baadala ya mti?
Akajiby mbovu, nusu nimkate makofi kama wasingeingilia walimu wengine kati. Nikamwita mwalimu mkuu kumhoji pia.
Nikamweleza kuwa kama mtoto kakosea kuleta mti kwa nini hakunfundisha? Kwa sababu watoto wengi wa mjini hawajui tofauti ya miti na maua.
Nikataka kuitisha shule nzima watoto huku nimeshika mhindi wautambue. Nikamweleza mwalimu mkuu nina uhakika nusu ya shule hawatatambua kama huu ni mhindi. Kama anabisha awaited watoto watambue.
Mwalimu mkuu akasema kweli sina haja ya kuita shule nzima watoto waliokulia mjini hawajui miti kama watoto wa vijijini. Mwalimu alikosea kumchapa mtoto angemfundisha
Yule mwalimu ni mpumbavu sana.
umeelewa ulicho kiandika wewe mlugaluga?Natokea Rombo. Niishi Dar
Zaidi ya miaka 25 iliyopita. Tulishikishwa pedi na mwalimu Vida, hakuna aliyelalamika na sidhani kama kuna ambae alimsimulia mzazi wake.
Ilisaidia kukomesha tabia ya kutupa pedi hovyo hovyo na vyoo havikuziba tena.
Hakuna ukatili wowote hapo.
Mr Kiraka. Mambo ya umri wangu yanaingiliana vipi na adhabu ambazo zinamhatarisha mtoto kiafya?Una umri gani Gily Gru ? Sema tu 20's, 30's usitaje umri kamili.
Kijana hapo kuna mti na uaGenius unayejua miti na maua. Huu ni mti gani?View attachment 3033387
unaishi dar sehem gani?😕😕Mjanja
Natokea Rombo Kilimanjaro sio mchaga wa Marangu. Ila niko Dar kwa sasa
Acha upumbavu, ulitaka walimu wao ndio washike na kuondoa hizo pedi chafu?
Watoto wa siku hizi hawasikii kabisa, walimu wapongezwe.
Tena wakirudia upuuzi wa kuchafua vyoo kwa kutupa pedi chooni hizo pedi wazibebe hadi vitandani mwao ndio akili itawakaa vizuri.
Walimu karibuni Marangu mtoni mnywe bia na kula nyama bili yangu
meku acha zarauKuna mmoja hapo juu anadai naishi kwa shemeji unaweza kumuuliza hili swali
Unaniita mlugaluga huna adabu kwa wakubwa zako