Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Mr Kiraka. Mambo ya umri wangu yanaingiliana vipi na adhabu ambazo zinamhatarisha mtoto kiafya?
Nimemuliza mmoja hapo juu, kuwa yeye anaishi nyumba ya kupanga na kuna wapangaji wengine wanakunya hawasafishi. Ili iwe funzo anaonaje nyumba nzima wasafishe choo kwa mikono kwa sababu mmoja wao hasafishi kwa maji?
Hili swala nimeliandika straight. Kwa nini watoto washikishwe pedi ambazo zimetota maji ya chooni?
Nimeuliza umri ili niweze kujua una experience gani katika maisha na niweze kuacha kupoteza muda. Kuna hatari nyingi sana katika maisha kama vile za gari, boda boda na nyingi nyingine zote ni hatari tu.
Watoto wetu lazima wafundishwe na kuna njia mbali mbali. Moja wapo walioamua walimu kuitumia ni hiyo na nakuhakikishia ni most effective kwa watoto hao ambao walikuwa wanaona aibu kutupa pedi zao sehemu tengefu na kuamua kutumbukiza chooni.
Maana kuna ambao walikuwa wanazitoa pedi hizo hizo walizotupa hao watoto kwa mikono.
Je mpaka leo huyo mtoto amepata madhara gani?
Unadhani atatupa tena pedi chooni au kumuona mwenzake anatupa na kukaa kimya?