Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Mkuu, usihamaki take it easy.Illiterate mindset. I need not to argue with you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, usihamaki take it easy.Illiterate mindset. I need not to argue with you.
Unazingua sana. Unaandika nakaa kwa shemeji. What is that about?Mkuu, usihamaki take it easy.
Unaropoka as always.
We una uhakika gani kama sikuwahi kufundisha!?
Una uhakika gani kama siwapongezagi walimu!?
Hii ni dalili ya mtu ambaye mfupi wa maarifa na busara/hekima.
Niliwahi kufundisha shule inaitwa Almustaqiim sasa hivi inaitwa Al nahdhwa Temeke pale kwa Aziz Ally.
5&6 kipindi hicho ndio natafuta maisha niendelee kujisomesha kozi yangu ya Medicine.
Sikuwahi kuinua mkono kumchapa mwanafunzi,hadi leo ukipita ukiuliza pale mwalimu Kippaya alikuaje watakwambia.
Na watoto walikua wananielewa vibaya mno.
Mtu huelekezwa kwa upendo na busara sio nguvu.
Sina haja ya kwenda PM.
Swala la kucheka tu na kumwambia mtoto kuwa huo sio mti sasa hasira za kuchapa zinatoka wapi?Serikali inatakiwa iwapime walimu akili kama ziko sawa. Hawa walimu tunawqachia malezi ya watoto badala ya kujenga watoto wakawaharibu
Juzi hapo nilitoka kumwashia moto mwalimu mmoja wa darasa la tano. Aliwatuma watoto walete miti shuleni (ipandwe shuleni), sasa mtoto (related to me) akapeleka ua. Yule mwalimu alimtandika sana mtoto wa darasa la tano kwa kosa la kuleta ua na sio mti
Mtoto kurdish kulalamika kesho nikaamkia saa kumi na mbili kuhoji kwa nini amchape mtoto kwa kukosea kuleta ua baadala ya mti?
Akajiby mbovu, nusu nimkate makofi kama wasingeingilia walimu wengine kati. Nikamwita mwalimu mkuu kumhoji pia.
Nikamweleza kuwa kama mtoto kakosea kuleta mti kwa nini hakunfundisha? Kwa sababu watoto wengi wa mini hawajui tofauti ya miti na maua.
Nikataka kuitisha shule nzima watoto huku nimeshika mhindi wautambue. Nikamweleza mwalimu mkuu nina uhakika nusu ya shule hawatatambua kama huu ni mhindi. Kama anabisha awaited watoto watambue.
Mwalimu mkuu akasema kweli sina haja ya kuita shule nzima watoto waliokulia mjini hawajui miti kama watoto wa vijijini. Mwalimu alikosea kumchapa mtoto angemfundisha
Yule mwalimu ni mpumbavu sana.
Mwanafunzi alichapwa fimbo nyingi bora hata angepigwa fimbo moja. Yule ticha nilimwakia sanaSwala la kucheka tu na kumwambia mtoto kuwa huo sio mti sasa hasira za kuchapa zinatoka wapi?
ni adhabu nzuri naiunga mkono kwa 100% tena ingewezekana walitakiwa waambiwe wakiishika ilivyo na wainuse piaWasalaam
Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni wameshikishwa pedi chafu
Kisa kenyewe ni hiki kilichotokea shule ya Rasesa Secondary School huko Rawia Marangu
Choo cha shule kiliziba, na hii inatokana na watoto wa kike kutupa pedi chooni. Walimu walikerwa na hili sana sana
Muhusika wa kauzibua choo aliitoa ile pedi ikawekwa kwenye ndoo. Watoto wote wa kike kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne wakaitwa kwa majina hadharani.
Waalimu wakaamrisha kila mtoto wa kike ashike ile pedi iliyopo kwenye ndoo na mkono wa kulia kama adhabu siku nyingine wasirudie kutupa chooni.
Nimemshauri mama mdogo alifikoshe holi swala kwa afisa wa elimu.
Kumbe ni jambo ambalo linafanyika? Kiafya imeakaje Lee? Unamshikishaje mtoto pedi chafu tena iliyotoka chooni ina maji taka umwambie akamue?
ni adhabu nzuri naiunga mkono kwa 100% tena ingewezekana walitakiwa waambiwe wakiishika ilivyo na wainuse piaKuna kitu kinaitwa mafunzo kwa vitendo huko shuleni, sasa hii ni part moja wapo. Watoto hawa kuna muda ni wajinga na wana kiburi sana, sasa unakuta mtoto choo kisicho cha shimo anatupa pedi, hili ni tatizo hata kwa baadhi ya wapangaji kwenye nyumba za kupanga. Majitu mazima kabisa.
Hawa watoto wamefanyiwa hivyo nakuhakikishia hawata rudia na wakitoka hapo wanatanawa mikono ya kwa sabuni vizuri tu kwa kutumia maji yanayo tiririka.
Usipoteze muda wako bure mkuu.
Tuwaunge mkono walimu wetu walio katika mazingira magumu sana ya kufanya kazi.
Kabisa, hawa hawa wanakojoa na kukaa na mapedi na mikojoo, kinyesi kwenye ndoo.. leo unaogopa ameshikishwa tu....ni adhabu nzuri naiunga mkono kwa 100% tena ingewezekana walitakiwa waambiwe wakiishika ilivyo na wainuse pia
Kuna namna ya kuwafundisha kwa vitendo. Ila sio kushika pedi ya mtu chafu, yenye damu na imedumbukizwa kwenye maji ya chooKuna kitu kinaitwa mafunzo kwa vitendo huko shuleni, sasa hii ni part moja wapo. Watoto hawa kuna muda ni wajinga na wana kiburi sana, sasa unakuta mtoto choo kisicho cha shimo anatupa pedi, hili ni tatizo hata kwa baadhi ya wapangaji kwenye nyumba za kupanga. Majitu mazima kabisa.
Hawa watoto wamefanyiwa hivyo nakuhakikishia hawata rudia na wakitoka hapo watanawa mikono yao kwa sabuni vizuri tu kwa kutumia maji yanayo tiririka.
Usipoteze muda wako bure mkuu.
Tuwaunge mkono walimu wetu walio katika mazingira magumu sana ya kufanya kazi.
kwenye hili hapana viongozi wengi hawana nidhamu ni wa ovyo na taia zao zinonekana kwenye utendaji wao na mambo ya ovyo wanayoyafanya hivyo naamini malezi na nidhamu za woga waliopitia kipindi wakiwa wanasoma ndio unaonekana sasa.walifagia madarasa na Kudeki vyoo na hujawahi kusikia wamelalamika maana wanajua bila maarifa Yale wasingekua na nidhamu ya kuwafikisha hapo walipo.
ndio kazi yao hiyo hata kama watoto wangekuwa elfu 5000 bado walimu wanapaswa kuwaelimisha tena na tena na tena umuhimu wa usafi binafsi na wa mazingira na sio kuwafundisha kwa njia ya ukatili hivyo au kuwapa adhabu kama hizo ambazo ni hatarishi kwa afya za hao watoto!Unajua mziki wa kukaa na watoto 1200 kutoka familia tofauti Mkuu, Kila mtoto ana Kuja na tabia yake kutoka nyumbani kwao na unatakiwa uwasimamie wote wawe sawa, hiyo kazi ungepewa wew unafkiri ungekua hautelezi kwenye maamuzi yako as a human??
kukosea kwao hakujustify sababu eti wanawatoto wengi hivyo wanateleza kwenye kufanya maamuzi vipi nae askari magereza ni sawa akiuwa magereza sababu atakuwa ametereza tu kwenye kazi yake, na muhudumu wa ank nae ni sawa hasipoweka hesabu zako vizuri za account yako ungeridhika angekwambia kuwa alipitia sababu ya kazi nyingi sana!Wanaweza wasiwe sahihi kwenye hilo lakini kabla hujawaanika hapa hebu vaa Viatu vyao kwanza...
bongo inawagonjwa wengi wa akili wasiojijua!Acha upumbavu, ulitaka walimu wao ndio washike na kuondoa hizo pedi chafu?
Watoto wa siku hizi hawasikii kabisa, walimu wapongezwe.
Tena wakirudia upuuzi wa kuchafua vyoo kwa kutupa pedi chooni hizo pedi wazibebe hadi vitandani mwao ndio akili itawakaa vizuri.
Walimu karibuni Marangu mtoni mnywe bia na kula nyama bili yangu nalipa.
Hapana hakuna alternative way ambayo wataikumbuka vizuri. Utakuta hivi vyoo vinaziba every day, wakiulizwa wanakataa wote, halafu wazazi mkija mnalalamika kuwa shulke ni chafu. Hii ni adhabu mujarabu kabisa, believe me you, hawa watoto hawatarudia tena, na watamkemea yeyote wataye ona amefanya hivi.Kuna namna ya kuwafundisha kwa vitendo. Ila sio kushika pedi ya mtu chafu, yenye damu na imedumbukizwa kwenye maji ya choo
Hakukiwa na alternative way of teaching them?
ni adhabu nzuri naiunga mkono kwa 100% tena ingewezekana walitakiwa waambiwe wakiishika ilivyo na wainuse piaKuna namna ya kuwafundisha kwa vitendo. Ila sio kushika pedi ya mtu chafu, yenye damu na imedumbukizwa kwenye maji ya choo
Hakukiwa na alternative way of teaching them?
Unaonaje hapo unapokaa na kutupa pedi chooni, wakushikishe wewe na wenzako wote kama fundisho ?
Mkuu, nipo kwenye dose ya Amitriptyline. Mirembe nimetoka.bongo inawagonjwa wengi wa akili wasiojijua!
Uzuri tulikua tunaelewa nini maana yake na ilifika kipindi hakukua na na vyoo vinaziba kisa padsisee ukatili wa juu sana!