Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Ama kweli, bila ufumbuzi wa kifikra Walimu wa nchi hii wataendelea kuonekana si lolote! Mliopo huko kwenye Chungu wasaidieni Walimu wa nchi hii, Kiukweli tuache unafiki na ushabiki Maisha ya Walimu wetu ni Magumu mnooo! Itakuwa vema sanaa endapo wakapewa hiyo posho ya katikati ya mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forums kila member ana mshahara mkubwa/kipato kikubwa kasoro walimu.
Cha kushangaza ukija katika uhalisia huku mtaani walimu ndiyo wanakimbiza kwa kipato ukiondoa wakuu wa taasisi.
Huku kijijini nilipo walimu ndiyo wamewekeza kuliko kada yoyote
Walimu wa vijijini Wana faida kubwa zaidi. Wengine hutumia wanafunzi kama kitegea uchumi chao
 
Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu, Wajinga, waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu, Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
Waga wanafurahia kuwa na likizo nyingi et[emoji23]
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Kuna siku nimemkuta REO mmoja amembabatiza Mwalimu mmoja waliyekutana naye sokoni akambebea mazagazaga aliyonunua sokoni hapo ayapeleke kwenye gari lake parking
 
Jamii forums kila member ana mshahara mkubwa/kipato kikubwa kasoro walimu.
Cha kushangaza ukija katika uhalisia huku mtaani walimu ndiyo wanakimbiza kwa kipato ukiondoa wakuu wa taasisi.
Huku kijijini nilipo walimu ndiyo wamewekeza kuliko kada yoyote
Sasa hivi miji mingi inayokua walimu ndiyo wanadominate uchumi maeneo mengi
Walimu wengi kwa sasa wana kipato kikubwa kuliko kada nyingine overall

Mama yangu ni mwalimu na kipato chake ni more than 2mil per month in general nje ya salary

Tatizo ni mtazamo tu hao wenye allowances kibao wengi wavivu tu
 
Mbona wamejitahidi Sana kuzoofisha elimu hadi nchi imekuwa masikini.
 
kwa bahati mbaya chaguzi zote huwa wanatumiwa...yani kwa kifupi hutumiwa kama tishu ambayo kazi yake ikiisha inakuwa takataka...!

ila ninacho jua mimi walimu wapo kwenye mgomo baridi😭😭😭​
 
Muda wa mwalimu ni limited, saa 2 mpaka saa 6 masomo ya asubuhi, 7 mpaka 8 lunch, 8 mpaka 10½ masomo ya jioni!! Hao walimu wanaofanya bihashara wanafanya labda ya usiku
Hahaha 🤣🤣🤣 kwa hiyo Mo ndo huwa anatengeneza Mo Xtra direct au Kuna watu wapo site kwa niaba yake?
Nenda Tarime ,ghorofa zuri utakaloliona kabla ya kuingia stendi ni la mwl fuatilia aliwezaje utajua huo muda unavyoweza kumtajirisha mjanja
 
Anyways,tufanye walimu ni wapumbavu je hao askari wamefanya nini kutetea maslahi Yao Hadi wanalipwa hivi?ukitumia kichwa kufikri na sio hicho kiungo kingine utagundua kuwa mwl hapaswi kulaumiwa Bali serikali ambayo haijali elimu ya watoto wenu au jamaa zako.ikiwa unaweza kiwapeleka sijui Kenya Kuna shangazi yako atawaleta huku kwa wapumbavu watafunsishwa na hao wakenya wakirudi wataambukizwa upumbavu pia
Hili ni jibu sahihi kabisa ,maafisa ugani waliandamana lin kulipwa mshahara kuliko ule wa mwl!?
 
Sasa ualimu nikazi yakumshauri ndugu yako afanye??? Yaani unafanya kazi unazidiwa mpaka na bodaboda???hiyo ni kazi?? Unasoma uje kutombewa mke na bodaboda kisa huna maokoto??
 
Sasa ualimu nikazi yakumshauri ndugu yako afanye??? Yaani unafanya kazi unazidiwa mpaka na bodaboda???hiyo ni kazi?? Unasoma uje kutombewa mke na bodaboda kisa huna maokoto??
Tutumie lugha za heshima tafadhali. Swala la usaliti kwenye ndo ni mtambuka kwa mpaka matajiri wanasalitiwa
 
Hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo Mo ndo huwa anatengeneza Mo Xtra direct au Kuna watu wapo site kwa niaba yake?
Nenda Tarime ,ghorofa zuri utakaloliona kabla ya kuingia stendi ni la mwl fuatilia aliwezaje utajua huo muda unavyoweza kumtajirisha mjanja
Sasa unafanya comparison ya investment ya Mo na investment ya Mwalimu anayelipwa laki 3?? How??

Mo kaajiri mpaka mapapet ujue?? Kuna mifumo kibao ya ulinzi. Programed system ndo uje ufananishe na meza ya mboga za majini??
Lunatic
 
Jamii forums kila member ana mshahara mkubwa/kipato kikubwa kasoro walimu.
Cha kushangaza ukija katika uhalisia huku mtaani walimu ndiyo wanakimbiza kwa kipato ukiondoa wakuu wa taasisi.
Huku kijijini nilipo walimu ndiyo wamewekeza kuliko kada yoyote
Mshahara haujawahi kutosha, inategemea na namna unavyojiongeza Kuna Watu wapo PSSF, TPA, TRA, Afya- doctors ....lakini HAWANA future yoyote....tusifikirie sana namna Monthly Earn- Mshahara unavyoweza kututoa Kimaisha TUFIKIRIE NAMNA YA KUTENGENEZA OTHER SOURCES OF INCOME kama Kilimo, ufugaji na ujasiriamali. ..n.k
 
Back
Top Bottom