Zero 2 Hero
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 532
- 1,072
Tatizo lako unafikiri kila aliyeko hapa yupo kupondea ama kusifia. Nilichokifanya hapo ni kutoa sababu za watunga sera.Nimesoma hiyo NB yako nimesikitika saana!! Yaani unaweka simenti nyingi kweye kozi za mwisho za matofali wakati foundation umejenga kwa matope ukiogopa gharama??
Mtu mwenye akili timamu (sina maneno mbadala) hawezi kufanya hivi!!
Tanzania tuko na WANAFIKI WENGI KWA SABABU YA ELIMU MBOVU
N.B
Yawezekana wewe na wanaokuunga mkono hoja zako ndio wenye akili, sisi wengine tumejaza matope vichwani. Sasa swali ni je si mkaishi huko kwa watu wenye akili? Mbona bado mmeng'ang'ana huku matopeni?