Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Mnawasema sana walimu, angalia watendaji kata, makatibu tarafa.

Njoo sasa kwa maafisa kama wakaguzi wa ndani, wahasibu, maafisa biashara, uchumi, maendeleo ya jamii.

Halmashauri hakuwezi kuisha mchwa kwa namna hii. Misharaha bado unakuta mtu ana gari kali, nyumba kali, analewa kila siku na vurugu za kuhonga michepuko.

Hana hata biashara wala side hussle nyingine, ni upigaji uliokithiri. Yote kula urefu wa kamba tu [emoji28][emoji2]
Wewe kwenye local government ushawahi ona mtu anafanyiwa recategorization toka kada yoyote kuwa mwalimu??
Je ni walimu wangapi wanafanyiwa recatogorization kuwa watendaji wa vijiji, kata, nk nk?? Acheni unafiki nyie
 
Ukweli gani?? Umetumwa na waziri wa elimu na Tamisemi ututoe kwenye reli?? LIPENI WALIMU TEACHING ALLOWANCE
Tatizo teaching tatizo kujitambua? Kama walimu hawajitambui tuangalie vyuo wanavyosoma vimewapa uwezo kujitambua?
 
Hahahahaha!! Mi naongea nina uwezo wa kuona kila mshahara wa mtumishi ukinibishia nakuona mwehu! Sajenti wa Magereza ana 645,000 basic salary ,100,000 vinywaji,pango 95,000,ration allowance 300,000/,Bima bure hachangii, hardiship allowance 95,000,maji na umeme soon wanaanza kulipwa keshi,Ujuzi 95,000 kama anao
Huo ni Uongo mshahara huo wa laki6 ni WA kati ya staff Sajenti na RSM,
Hizo Posho ulizozisemea except ration allowance havipo, police wamedai sana Hadi kwenye magazeti wamelalamikia
 
Balensiaga, yaani mtu mwenye degree anafanya kazi miaka 13 bado ana mshahara wa 1.5M unaona ni maajabu??

Balenciaga wa wapi wewe?
Askari (mambo ya Ndani)form iv aliyefanya kazi miaka 13, anaweza kufika salary ya 1.5m? Huko mambo ya Ndani salary scale ya 1.5m si ni pengine ya SP
 
Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu, Wajinga, waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu, Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
Wewe akili HUNA ulitaka walimu wafanye nini,nyinyi ndio wapumbavu mnashindwa kutetea KATIBA mpya ambayo itaruhusu mitaala mipya kuletwa Kwa watoto wenu unamlaumu mwalimu,mwalimu uoga wake uko wapi,nyinyi NDO maogopa mnashindwa kuleta mageuzi mnatataka walimu wawasaidie,pambane wenyeweeti walimu waoga,ulitaka washike mishale
 
Mara utasikia kahitimu st Maria. Unategemea nini?
Mkapa aliwapa chuo Wakata umeme TANESCO pale Morogoro mkageuza lecture halls misikiti, Lecturers ni magaidi wa hamas wanatandika wanachuo viboko, wataka kila wa kiume wavae don't touch my shoes wakike wawe maninja!! Unategemea nini hapo??
 
Wakiristo wanapewa pesa za MOU kuimarisha uchumi LKN cha kushangaza nchi maskini hatari. Hata kibiriti vinauzwa tz madein Somalia
 
Wewe akili HUNA ulitaka walimu wafanye nini,nyinyi ndio wapumbavu mnashindwa kutetea KATIBA mpya ambayo itaruhusu mitaala mipya kuletwa Kwa watoto wenu unamlaumu mwalimu,mwalimu uoga wake uko wapi,nyinyi NDO maogopa mnashindwa kuleta mageuzi mnatataka walimu wawasaidie,pambane wenyeweeti walimu waoga,ulitaka washike mishale
Msamehe mwalimu!! Sisi tumekuzwa kwenye mazingira ya kuamini mwalimu anaweza kila kitu
 
Hivi wewe kabila gani!? Staff sajenti wa magereza ana basic salary ya 786,000/ mbona mgumu kuelewa,,posho zote nilizokutajia kuanZia

Duty free,ration, hardship,Pango wan a lipwq direct kwenye mishahara yao ukiondoa ration allowance na duty free ambazo hutoka kwq kujitegemea,,nko jikoni mZee hata mshawako naujua vzr tu!
 
Napinga hiyo ni salary scale ya Assistant inspector
 
"Ukiwa na cheo cha stesheni sajenti kwa muda huo huo kazini ukistaafu unalipwa Sh21 milioni na pensheni ya Sh300,000 kwa mwezi na sajenti Sh18 milioni na pensheni ya Sh260,000 na koplo ni Sh17 milioni na pensheni Sh200,000"

Hayo juu ni malalamiko ya Mapolisi wastaafu (kutoka kwenye gazeti) ambao walikuwa wanalalamikia kikokotoo Cha mafao kuwa kinawapunja
Na hizo figures walizotoa hapo ndio pension za Mapolisi kwa vyeo tofauti mfano Pension ya mwezi ya Koplo police ni 200,000/-, Sajenti ni 260,000/-, staff Sajenti ni 300,000/-
Sasa hebu fikiria Kama pension ya Koplo, Sajenti,na staffu Sajenti ni hizo mishahara ya walioko kazini itakuwa sh ngapi?
 
Mtu anastaafu kafanya kazi miaka let say 35 analipwa milioni 21???
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Cc. Mpwayungu Village
 
Askari Magereza anayeanza kazi na elimu ya form4 analipwa:
Msha ha ra= 516,000 basic
Posho ya chakula 300,000
Posho vinywaji 100000
Mazingira magumu 86,000
Pango la nyumba 86000
Ujuzi 86,000 kama anao
Umeme na maji bure punde wanaanza kulipwa keshi.

Bima bure
Mbona wengi wanaishiaga kwenye umaskini kama wanalipwa vizuri
 
Back
Top Bottom