Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #201
Wewe kwenye local government ushawahi ona mtu anafanyiwa recategorization toka kada yoyote kuwa mwalimu??Mnawasema sana walimu, angalia watendaji kata, makatibu tarafa.
Njoo sasa kwa maafisa kama wakaguzi wa ndani, wahasibu, maafisa biashara, uchumi, maendeleo ya jamii.
Halmashauri hakuwezi kuisha mchwa kwa namna hii. Misharaha bado unakuta mtu ana gari kali, nyumba kali, analewa kila siku na vurugu za kuhonga michepuko.
Hana hata biashara wala side hussle nyingine, ni upigaji uliokithiri. Yote kula urefu wa kamba tu [emoji28][emoji2]
Je ni walimu wangapi wanafanyiwa recatogorization kuwa watendaji wa vijiji, kata, nk nk?? Acheni unafiki nyie