butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Juzi kati eti wanachanga hela ya kumchukulia fomu Samia,aisee hawa watu wacha waendelee kuwa masikini!Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu, Wajinga, waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu, Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app