Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu, Wajinga, waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu, Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
Juzi kati eti wanachanga hela ya kumchukulia fomu Samia,aisee hawa watu wacha waendelee kuwa masikini!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha!! Mi naongea nina uwezo wa kuona kila mshahara wa mtumishi ukinibishia nakuona mwehu! Sajenti wa Magereza ana 645,000 basic salary ,100,000 vinywaji,pango 95,000,ration allowance 300,000/,Bima bure hachangii, hardiship allowance 95,000,maji na umeme soon wanaanza kulipwa keshi,Ujuzi 95,000 kama anao
Kwa hesabu hizi inamaana sajent anakunja mil 1.3+ kwa mwezi
 
"Ukiwa na cheo cha stesheni sajenti kwa muda huo huo kazini ukistaafu unalipwa Sh21 milioni na pensheni ya Sh300,000 kwa mwezi na sajenti Sh18 milioni na pensheni ya Sh260,000 na koplo ni Sh17 milioni na pensheni Sh200,000"

Hayo juu ni malalamiko ya Mapolisi wastaafu (kutoka kwenye gazeti) ambao walikuwa wanalalamikia kikokotoo Cha mafao kuwa kinawapunja
Na hizo figures walizotoa hapo ndio pension za Mapolisi kwa vyeo tofauti mfano Pension ya mwezi ya Koplo police ni 200,000/-, Sajenti ni 260,000/-, staff Sajenti ni 300,000/-
Sasa hebu fikiria Kama pension ya Koplo, Sajenti,na staffu Sajenti ni hizo mishahara ya walioko kazini itakuwa sh ngapi?
Tatizo kubwa la maaskari ni kuwa take home kubwa wakati wanabasic salary ndogo. Hii ni kwasababu wao wana marupurupu mengi. Bahati mbaya kwenye pension marupurupu hayahesabiwi, inahesabiwa basic salary tu.

Walimu wanabasic kubwa na take home ndogo. Kwasababu hawana marupurupu na wakati huo huo wanamakato makubwa.

Hivyo wakishastaafu maaskari huwa wanatia huruma kuliko kada zingine
 
Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu, Wajinga, waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu, Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
Wewe umesoma wapi
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Hapo hujatoa mkopo wa HESLB
 
Kwani wao ndio wanajilipa hiyo mishahara? Tumia akili kufikiri. Hiyo inatokana na hali ya uchumi wa nchi yetu. Hakuna anayemdharau mwalimu labda mpumbavu km wewe. Sisi tunawapenda na kuwaheshimu
We ndo mpumbavu mwandamizi. Iweje wabunge walipwe hela ndefu ivyo
 
Askari Magereza anayeanza kazi na elimu ya form4 analipwa:
Msha ha ra= 516,000 basic
Posho ya chakula 300,000
Posho vinywaji 100000
Mazingira magumu 86,000
Pango la nyumba 86000
Ujuzi 86,000 kama anao
Umeme na maji bure punde wanaanza kulipwa keshi.

Bima bure
mkuu na vp askari polisi na Jw anaeanza?
 
B1 n mwl wa chekechea au?
Chekechea ni kitengo tu. Mwalimu mwenye Certificate akiwa shuleni anapangiwa kufundisha elimu msingi au elimu awali (chekechea) na wote wanaanzia mshahara huo wa daraja B1 kama wana elimu ngazi ya cheti (Certificate). Pia Mwalimu aliyepo shule ya msingi anaweza kuwa na Diploma na akafundisha darasa la awali pia. Mshahara wake unategemea Elimu na daraja lake. Hivyo anaweza akawa na D1 au E1 kutegemea na muda aliokaa kazini.
 
Professional code of conduct contends that TEACHING IS A VOLUNTEERING WORK.Tangu chuo mwalimu hufundwa kuridhika na hali yake kwa gharama za uzalendo kwa taifa.Basic tenets za falsafa ya idealism ndizo nguzo ya professional code of conduct for teaching hivyo tuoneeni huruma tu lakini ni hatubadiliki kwani hatujielewi.
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Acha laana yakutumika kuiba uchaguzi iwatafune
 
Back
Top Bottom