Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
-
- #221
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]Sasakwq akili yako umeona huo ni mshahara wa kumfanya mtu awe tajiri
Walimu wa vijijini Wana faida kubwa zaidi. Wengine hutumia wanafunzi kama kitegea uchumi chaoJamii forums kila member ana mshahara mkubwa/kipato kikubwa kasoro walimu.
Cha kushangaza ukija katika uhalisia huku mtaani walimu ndiyo wanakimbiza kwa kipato ukiondoa wakuu wa taasisi.
Huku kijijini nilipo walimu ndiyo wamewekeza kuliko kada yoyote
Waga wanafurahia kuwa na likizo nyingi et[emoji23]Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu, Wajinga, waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu, Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
Kuna siku nimemkuta REO mmoja amembabatiza Mwalimu mmoja waliyekutana naye sokoni akambebea mazagazaga aliyonunua sokoni hapo ayapeleke kwenye gari lake parkingBaada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!
Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?
Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?
HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!
B1 = Basic 419,000
Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000
C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700
D1= Basic 716,000
Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640
E1 = Basic 940,000
Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600
F1 = Basic 1,235,000
Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650
Source
Tanzania (MISHAHARA) Salary Scale Range 2022/2023 | Check Here
Latest Education and Ajira Portal: Cheki Nafasi za Kazi 2025, Ajira Mpya Tanzania, Interview Tips, Scholarships, NECTA Past Papers, MATOKEO, SELECTIONwww.ajiraleo.com
Sasa hivi miji mingi inayokua walimu ndiyo wanadominate uchumi maeneo mengiJamii forums kila member ana mshahara mkubwa/kipato kikubwa kasoro walimu.
Cha kushangaza ukija katika uhalisia huku mtaani walimu ndiyo wanakimbiza kwa kipato ukiondoa wakuu wa taasisi.
Huku kijijini nilipo walimu ndiyo wamewekeza kuliko kada yoyote
Mimi ni team Bush StarSema muandika uzi ni timu pinzani[emoji28]
Hahaha 🤣🤣🤣 kwa hiyo Mo ndo huwa anatengeneza Mo Xtra direct au Kuna watu wapo site kwa niaba yake?Muda wa mwalimu ni limited, saa 2 mpaka saa 6 masomo ya asubuhi, 7 mpaka 8 lunch, 8 mpaka 10½ masomo ya jioni!! Hao walimu wanaofanya bihashara wanafanya labda ya usiku
Naamkwa bahati mbaya chaguzi zote huwa wanatumiwa...yani kwa kifupi hutumiwa kama tishu ambayo kazi yake ikiisha inakuwa takataka...!
ila ninacho jua mimi walimu wapo kwenye mgomo baridi😭😭😭
Hili ni jibu sahihi kabisa ,maafisa ugani waliandamana lin kulipwa mshahara kuliko ule wa mwl!?Anyways,tufanye walimu ni wapumbavu je hao askari wamefanya nini kutetea maslahi Yao Hadi wanalipwa hivi?ukitumia kichwa kufikri na sio hicho kiungo kingine utagundua kuwa mwl hapaswi kulaumiwa Bali serikali ambayo haijali elimu ya watoto wenu au jamaa zako.ikiwa unaweza kiwapeleka sijui Kenya Kuna shangazi yako atawaleta huku kwa wapumbavu watafunsishwa na hao wakenya wakirudi wataambukizwa upumbavu pia
Serikali wanajua kila kitu ndio maana watoto wao wanasomea Feza na ISTHili ni jibu sahihi kabisa ,maafisa ugani waliandamana lin kulipwa mshahara kuliko ule wa mwl!?
Tutumie lugha za heshima tafadhali. Swala la usaliti kwenye ndo ni mtambuka kwa mpaka matajiri wanasalitiwaSasa ualimu nikazi yakumshauri ndugu yako afanye??? Yaani unafanya kazi unazidiwa mpaka na bodaboda???hiyo ni kazi?? Unasoma uje kutombewa mke na bodaboda kisa huna maokoto??
Sijasema anakua tajiri acha kukurupuka na hiyo akili yako.Sasakwq akili yako umeona huo ni mshahara wa kumfanya mtu awe tajiri
Sasa unafanya comparison ya investment ya Mo na investment ya Mwalimu anayelipwa laki 3?? How??Hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo Mo ndo huwa anatengeneza Mo Xtra direct au Kuna watu wapo site kwa niaba yake?
Nenda Tarime ,ghorofa zuri utakaloliona kabla ya kuingia stendi ni la mwl fuatilia aliwezaje utajua huo muda unavyoweza kumtajirisha mjanja
Mshahara haujawahi kutosha, inategemea na namna unavyojiongeza Kuna Watu wapo PSSF, TPA, TRA, Afya- doctors ....lakini HAWANA future yoyote....tusifikirie sana namna Monthly Earn- Mshahara unavyoweza kututoa Kimaisha TUFIKIRIE NAMNA YA KUTENGENEZA OTHER SOURCES OF INCOME kama Kilimo, ufugaji na ujasiriamali. ..n.kJamii forums kila member ana mshahara mkubwa/kipato kikubwa kasoro walimu.
Cha kushangaza ukija katika uhalisia huku mtaani walimu ndiyo wanakimbiza kwa kipato ukiondoa wakuu wa taasisi.
Huku kijijini nilipo walimu ndiyo wamewekeza kuliko kada yoyote