Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Juzi kati eti wanachanga hela ya kumchukulia fomu Samia,aisee hawa watu wacha waendelee kuwa masikini!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hesabu hizi inamaana sajent anakunja mil 1.3+ kwa mwezi
 
Tatizo kubwa la maaskari ni kuwa take home kubwa wakati wanabasic salary ndogo. Hii ni kwasababu wao wana marupurupu mengi. Bahati mbaya kwenye pension marupurupu hayahesabiwi, inahesabiwa basic salary tu.

Walimu wanabasic kubwa na take home ndogo. Kwasababu hawana marupurupu na wakati huo huo wanamakato makubwa.

Hivyo wakishastaafu maaskari huwa wanatia huruma kuliko kada zingine
 
Wewe umesoma wapi
 
Hapo hujatoa mkopo wa HESLB
 
Mnaeza tufafanulia vizuri hizo grade zinavyokua?
 
Kwani wao ndio wanajilipa hiyo mishahara? Tumia akili kufikiri. Hiyo inatokana na hali ya uchumi wa nchi yetu. Hakuna anayemdharau mwalimu labda mpumbavu km wewe. Sisi tunawapenda na kuwaheshimu
We ndo mpumbavu mwandamizi. Iweje wabunge walipwe hela ndefu ivyo
 
mkuu na vp askari polisi na Jw anaeanza?
 
B1 n mwl wa chekechea au?
Chekechea ni kitengo tu. Mwalimu mwenye Certificate akiwa shuleni anapangiwa kufundisha elimu msingi au elimu awali (chekechea) na wote wanaanzia mshahara huo wa daraja B1 kama wana elimu ngazi ya cheti (Certificate). Pia Mwalimu aliyepo shule ya msingi anaweza kuwa na Diploma na akafundisha darasa la awali pia. Mshahara wake unategemea Elimu na daraja lake. Hivyo anaweza akawa na D1 au E1 kutegemea na muda aliokaa kazini.
 
Professional code of conduct contends that TEACHING IS A VOLUNTEERING WORK.Tangu chuo mwalimu hufundwa kuridhika na hali yake kwa gharama za uzalendo kwa taifa.Basic tenets za falsafa ya idealism ndizo nguzo ya professional code of conduct for teaching hivyo tuoneeni huruma tu lakini ni hatubadiliki kwani hatujielewi.
 
Acha laana yakutumika kuiba uchaguzi iwatafune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…