Umesahau posho ya pedi kwa akina mama.Afya wana posho, night na overtime, Kilimo wanakafanyia kazi vijijini, means wanakula mashambani na wana marupurupu kwenye pembejeo na viwatirifu pamoja na posho za wakulima, Askari, wana posho ya laki 3 ambayo haikatwi kodi (sawa na mshahara wa mwalimu), posho ya makazi, posho ya vinywaji, posho ya taaluma, (meningine dhambi) magereza vilevile nao ni askari.
Bado unataka ulinganishe na walimu wanaouza kashata shuleni??
We kweli Kifuru Kutu.
Mishahara hiyo ya walimu hawafany wa dharaulike ila kinachofany wadharaulike wao n kundi kubwa mno ambalo hupokea MSHAHARA bila marupu rupu mengine , 98.96% walimu hujikimu na mishahara yaoBaada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!
Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?
Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?
HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!
B1 = Basic 419,000
Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000
C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700
D1= Basic 716,000
Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640
E1 = Basic 940,000
Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600
F1 = Basic 1,235,000
Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650
Source
Tanzania (MISHAHARA) Salary Scale Range 2022/2023 | Check Here
Latest Education and Ajira Portal: Cheki Nafasi za Kazi 2025, Ajira Mpya Tanzania, Interview Tips, Scholarships, NECTA Past Papers, MATOKEO, SELECTIONwww.ajiraleo.com
🙄🙄😳💭Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu,Wajinga,waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu,Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
👍👌👏🙏💐Jamii forums kila member ana mshahara mkubwa/kipato kikubwa kasoro walimu.
Cha kushangaza ukija katika uhalisia huku mtaani walimu ndiyo wanakimbiza kwa kipato ukiondoa wakuu wa taasisi.
Huku kijijini nilipo walimu ndiyo wamewekeza kuliko kada yoyote
Kinachoongelewa hapa ni huu ujinga na viherehere vyenu vya kujifanya mnampenda rais na kumchangia pesa kutoka kwenye hiyo mishahara yenu kidogo eti akachukue form za uraisi, huu ujinga umeuona wapi kwenye hizo idara zingine ulizozitajaNgoja nitoe Ngoma juan leo mambo yalivyo[emoji250][emoji834][emoji250][emoji834]Mishahara hiyo ya walimu hawafany wa dharaulike ila kinachofany wadharaulike wao n kundi kubwa mno ambalo hupokea MSHAHARA bila marupu rupu mengine , 98.96% walimu hujikimu na mishahara yao
Hiyo mishahara ndio mishahara wanayolipwa watumish wengi chin ya halmashaur na hata ngaz zngne utofaut ni sehemu zao za kaz zina advantage kwa posho mishe na allowance.
Hiyo hoja huwez kuta zinaletw na mtumish alie timia au mtumish wa halmashaur kwakuw wanajua mishahara yao hulingan na wengine hupokea chin kdogo
Nina ndugu na jamaa wapo afya, kilmo na vtengo vya halmashaur huwa wanaend Sawa
Hakun mtu anawez dharau mwingne . Utad
KIULINGANIFU NA WATUMISH WENGINE WA KAWAIDA (WENYE HADHI NA ELIMU SAWA MISHAHARA YAO SI MIDOGO) UKITAK HILO MWAGA MISHAHARA YA
POLIS
JWTZ
AFISA UGANI
MTENDAJ/KATA KIJIJI
HAO TEHAMA
WAASIBU
MIPANGO
WENGINE UTALETA MREJESHO NA UJUE KWA NN UJE NA MAJADIRIANO MAPYA
[emoji3482] Make sure ni mishahara sio vtu vngne
Ikiwa wao wametoa hela zao je wewe unaathirika kwa namna gani?Kinachoongelewa hapa ni huu ujinga na viherehere vyenu vya kujifanya mnampenda rais na kumchangia pesa kutoka kwenye hiyo mishahara yenu kidogo eti akachukue form za uraisi, huu ujinga umeuona wapi kwenye hizo idara zingine ulizozitaja
Umeambiwa uweke mishahara ya kada zingine na sio utaje posho zaoAfya wana posho, night na overtime, Kilimo wanakafanyia kazi vijijini, means wanakula mashambani na wana marupurupu kwenye pembejeo na viwatirifu pamoja na posho za wakulima, Askari, wana posho ya laki 3 ambayo haikatwi kodi (sawa na mshahara wa mwalimu), posho ya makazi, posho ya vinywaji, posho ya taaluma, (meningine dhambi) magereza vilevile nao ni askari.
Bado unataka ulinganishe na walimu wanaouza kashata shuleni??
We kweli Kifuru Kutu.
Safi sana weka na kada zingine upolisi ,kilimo na kada zingine tuoneBaada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!
Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?
Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?
HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!
B1 = Basic 419,000
Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000
C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700
D1= Basic 716,000
Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640
E1 = Basic 940,000
Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600
F1 = Basic 1,235,000
Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650
Source
Tanzania (MISHAHARA) Salary Scale Range 2022/2023 | Check Here
Latest Education and Ajira Portal: Cheki Nafasi za Kazi 2025, Ajira Mpya Tanzania, Interview Tips, Scholarships, NECTA Past Papers, MATOKEO, SELECTIONwww.ajiraleo.com
Mkuu hawezi kuweka kwasababu lengo lake ni kuwadhalilisha walimu...na Kuna kada nyingi tu zinazidiwa mshahara na walimu...Safi sana weka na kada zingine upolisi ,kilimo na kada zingine tuone
Numan mishahara ya majeshi ni siri lakini posho ya askari ni basic salary ya MwalimuUmeambiwa uweke mishahara ya kada zingine na sio utaje posho zao
Hawana akili mkuuKwahyo na hawa wenye take home 300k nao walichanga hela za fomu??
Kuna jamaa angu anasemaga vichwa vya walimu ni kama Power bank.... [emoji51]
Si ndiyo hawa hawa walimchangia Samia kupata for ya kugombea urais 2025??Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!
Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?
Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?
HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!
B1 = Basic 419,000
Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000
C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700
D1= Basic 716,000
Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640
E1 = Basic 940,000
Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600
F1 = Basic 1,235,000
Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650
Source
Tanzania (MISHAHARA) Salary Scale Range 2022/2023 | Check Here
Latest Education and Ajira Portal: Cheki Nafasi za Kazi 2025, Ajira Mpya Tanzania, Interview Tips, Scholarships, NECTA Past Papers, MATOKEO, SELECTIONwww.ajiraleo.com
Huu ujinga (sina nendo mbadala) ndo mnauotumia kuwadanganyia walimu (alianza Rais Mkapa kwa kufuta Teaching allowance) eti kada flani wanalipwa kiasi kidogo kuliko nyinyi!!Mkuu hawezi kuweka kwasababu lengo lake ni kuwadhalilisha walimu...na Kuna kada nyingi tu zinazidiwa mshahara na walimu...
NB:NI MJINGA TU ANAEWADHARAU WALIMU WETU
Umeongea kidharau sana ila ndio ukweli isee hawa walimu wetu wanawajaza watoro wetu uoga mno na tabia za uchawauchawa zilianza shule wale waliokuwa wanajipendekeza kwa walimu kuwapa taarifa mbalimbali za wanafunzi walikuwa favored zaidi leo hii ndio tumeona madhara yake uchawa ndio imekuwa ajira kwa vijana nchini.Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu,Wajinga,waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu,Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
Toa mapendekezo kwa serikali, waliyemchangia anapitaga humu!!Hawa wajinga mi naona hata hizo bado ni kubwa sana ilitakiwa walipwe nusu yake maana hawana akili
Jamiiforums is the home of great thinkers!! Tuje na way forward kwani foundation ya nchi yoyote ni Elimu. Bika elimu bora hili taifa baada ya miaka 100 alitakuepo. Mark my words!!Umeongea kidharau sana ila ndio ukweli isee hawa walimu wetu wanawajaza watoro wetu uoga mno na tabia za uchawauchawa zilianza shule wale waliokuwa wanajipendekeza kwa walimu kuwapa taarifa mbalimbali za wanafunzi walikuwa favored zaidi leo hii ndio tumeona madhara yake uchawa ndio imekuwa ajira kwa vijana nchini.
Ovyoo kabisaaa