mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Hakuna mzazi aliyepitisha upuuzi kama huo,Suala la kula shuleni ni la lazima hivyo huo mchango ni lazima pia. Na nina hakika mliupitisha wazazi wenyewe kwenye vikao vyenu, unless ndio nyie hamuhudhurii vikao.
Lakini pesa hizo zipo chini ya usimamizi wa wazazi wenyewe.
Kinachofanyia ni kwamba...
Kunakuwa na kigenge cha wahuni walojivika cheo cha wawakilishi wa wazazi hapo shuleni.
Hawa ndy mwiba mkubwa sn kwa wazazi ,
Hawa ndy wanaotumika kufanya maamuzi mbali mbali kwa kisingizio kwamba wazazi wameridhia.
Kumbe sio kwl.
Na linapotokea suala la vikao ukileta hoja za kupinga Jambo hilo ,
Utashambuliwa na genge la hao wanaojiita wawakilishi wa wazazi ili mradi hoja yao ya ufisadi itimie.
Hivi kulikuwa na ulazima gani ulazimishe mtoto alipe 20000 kwa mwezi wakati akitoka shule Saa 9 anakwenda Kula lunch nyumbani kwao?
Kwann waweke lazima?
Halafu kibaya Zaidi chakula ni kibovu Sana.