Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!


Ficha ujinga wako, dreamliner ni kwa ajili ya safari za ndani? Umewahi kupata mrejesho wa faida ya dreamliner kwa kufanya safari za ndani? Unajua unachozungumza? Kwa taarifa yako fast jet walikuwa na gharama nafuu kuliko hizo ndege za ATCL. Hayo mashirika shindani yanakutana na wakati mgumu kutokana na unafair competition, ndio maana hizo ndege zetu haziwezi ushindani wa nje ya mipaka, kwani huko hakuna mbeleko.
 
Pumbavu kwani kabla dreamliner hazijanunuliwa hali ilikuwaje?
 
Siasa za Tanzania ni hovyo sana! Wanaokosoa JPM kununua Ndege, wanaokosoa kujinufaisha Kisiasa. Vile vile JPM na CCM amenunua Ndege ni jambo jema sana, lakini wanataka kujinufaisha Kisiasa.​
Tunajinufaishaje kisiasa! Kula ndizi ukalale!
 
kwa upande wako upo sawa. Ila kwa wenye akili wanachukulia hiyo ni changamoto nyingine. Kwa viakili vyangu vitatu na nusu, ningependekeza kila kijiji kijenge madarasa yake kwa nguvu zao wenyewe kama miaka ya zamani 1960's - 1980's. Kama wanaume wapo 500 kwenye kijiji na wanawake labda 700, wajipange nusu kwa nusu ili kuwe na shift mbili; asubuhi wanaume 250 na wanawake 350 washirikiane kujenga na jion hivohivo. Pesa nyingine za kujengea mnatoa wenyewe wananchi kwa manufaa yenu wenyewe...kwa bidii hii wiki moja tu madarasa kibao. Kila kitu ni mipango! Kila kitu kikiachiwa serikali spidi ya mabadiliko itabakia ni ile ile 60km/h, na ikiongezeka sana 65km/h. Ila umoja ni 120 - 180km/h. Tuipende nchi yetu!!!
Mwenye viakili 10 ataongezea zaidi.
 
Hata jana kawaambia mablozi kwamba amesha leta tano bado mbili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua kuwa wanaokupinga kwa hii post ni vijana wa uvccm ambao hawana watoto na hawategemei kuwa na watoto wa kwenda shule
 
Hili jibu la Nyangomboli linaweza kutoka kwenye robot tu na siyo kichwa chenye ubongo. Wewe ukiona Dream liner tu unaona uchumi unakuwa. Kwa taarifa yako hasara ya ATCL mwaka 2017/ 18 ni Tshs 20 Bilioni na 2018/19 ni Tshs 11 Bilioni.
 
Siasa za Tanzania ni hovyo sana! Wanaokosoa JPM kununua Ndege, wanaokosoa kujinufaisha Kisiasa. Vile vile JPM na CCM amenunua Ndege ni jambo jema sana, lakini wanataka kujinufaisha Kisiasa.​
Hata hela ya kukodi Uber huna, unakaa kusifia madege
 
The wings of Kilimanjaro...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu wana wakati mgumu! Huyu mwalimu anatakiwa apongezwe kwa jinsi anavyofundisha darasa lilivyojaa namna hiyo. Na wanafunzi wenyewe wanaonyesha wana nidhamu na wanapenda kusoma. Tafadhali mtu anayejua hapo ni wapi atufahamishe tutoe mchango wa kujenga darasa lingine. Nimesikitika sana!

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…