Walimu watafungwa sana na magereza yatajaa ikiwa Sheria hazitabadilishwa, wanafunzi wa kike ndio wanaowataka Walimu

Huna mtoto wa kike ndio maana unaongea utumbo huu

Vilevile kwa sheria ya Jamhuri ukizini na binti wa under 18 ni umembaka haijalishi mumekubaliana haijalishi ni student au sio

Kei zote hizo za kuokota za wakubwa wenzio huzioni mbwa wewe miaka 30 itakuhusu
 
Daah ninae mmoja hapa yupo form six kumsubiria mpaka mwakani amalize siwezi
 
Mwalimu asomea jinsi ya kuwalea hao vijana na hiyo Hali ulio Iona ndo umri wao wa hao vijana kujaribu vitu. Ndio maana wazazi/walezi tunatakiwa kuwa makini na wototo wetu wanapofika umri wa kupevuka. Mwalimu qnajua jinsi ya kudeal na wateja wake. Ndo maana kinyume na hapo jela itamuhusu. Kwakua anamiongozo yote ya kimalezi.
 
Wanafunzi wa hivyo dawa yao ndogo sana!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Si kila me ananaswa. Wengine wanaself-control iliyoshiba. Haitetereshwi na upepo wala Kimbunga!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Watawaua wengi
Awaue tu, awezavyo!! lkn anatengeneza Bomu baya! baya sana!!! make na yeye atauawa vibaya sana! na hao! hao watoto ambao Mama zao walibakwa!! wao hawatajua kuwa Baba zao walibaka! bali alionewa tu!

na wamama wanavo jua kubadili story! heee!
 
Acha ngono mkuu
 
una safari ndefu sana ipo siku utamlala mtoto wako ukiulizwa utasema ALIKUTEGA Ukashindwa kuvumila
 
Dawa ya Mwalimu aliye baka ikibainika na kuthibitika ni kumuuwa tu hakuna mjadala.
Kuua mtu Kwasababu ya kufanya ngono na binti mkubwa aliyebalehe siyo sahihi.
Kwasababu kinachopelekea mtu anayefanya ngono na huyo binti kuwa kosa ni malengo ya serikali ya kutoa elimu ya kimagharibi kwa kila mtoto hadi kufikia kiwango cha sekondari( Haki ya kupata elimu ya msingi na sekondari).
LAKINI, mpango wa MUNGU ni wanadamu kuzaliana na kuijaza nchi( Dunia). Ndio maana sheria mbalimbali za ndoa duniani Zinaruhusu binti kuolewa akiwa na miaka 15 na 16( umri wa sekondari kwa wengi).
Na binadamu wote ni mali ya MUNGU, Kwahiyo iwapo mtu atampa mimba mwanafunzi awekwe kizuizini ili kuepusha madhara kwa wengine.
Miaka 30, siyo kidogo.
 
Hii itaongeza matatizo zaidi, badala ya manufaa( kama mtu hatatakiwa kujizuia kwa baadhi ya hizo, " natural calls"). Sheria nzuri inajenga tabia ya kujizuia badala ya kujiachia bila mipaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…