Reciprocal
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 329
- 523
Siyo, miaka 18 bali ni haki ya kila mtu kupata elimu ( Kwahiyo, kama mwanafunzi ana miaka 18 na yupo "form two" ukimpa mimba unafungwa, Kwasababu umemzuia kupata elimu). Sheria inayotumika ni ile inayosisitiza haki ya kupata elimu na siyo sheria ya umri wa kuolewa.Hiyo ni kweli asilimia kubwa ya baadhi ya wanafunzi wao ndio hupelekea
Lakini sisi tunaamini mwalimu ni mlezi kwa hiyo hana budi kukataa mazoea na wanafunzi wa kike
Kumbuka kutembea na mwanafunzi ni kosa
Kulala na mwanafunzi ni kosa ( kama hajafikisha miaka 18 ni sawa na aliyebaka = miaka 30)
Kumpa mimba mwanafunzi ni miaka 30
Sasa akili kumkichwa