Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Utakuwa mwalimu wewe.Wadau hili suala la walimu kufunguliwa kesi za kuwatia mimba wanafunzi au kuwabaka Mimi napingana nalo hasa baada ya kujionea wanafunzi wakiwa ndio chanzo Cha walimu kuwadinya wanafunzi.
Walimu wanapaswa kukataa kwa sabau hao wasichana bado hawana akili ya kujua wanachofanya, na wanasumbuliwa na ashiki zinazokuja katika kuingia utu uzima. Ndio maana kesi hizi zinaitwa statutory rape. Yaani ni sawa na mtoto kutaka kuchezea moto halafu wewe mtu mzima umkubalie. Unapaswa kufungwa.