Walimu watafungwa sana na magereza yatajaa ikiwa Sheria hazitabadilishwa, wanafunzi wa kike ndio wanaowataka Walimu

Siyo, miaka 18 bali ni haki ya kila mtu kupata elimu ( Kwahiyo, kama mwanafunzi ana miaka 18 na yupo "form two" ukimpa mimba unafungwa, Kwasababu umemzuia kupata elimu). Sheria inayotumika ni ile inayosisitiza haki ya kupata elimu na siyo sheria ya umri wa kuolewa.
 
utauwawa bure.
sheria inapitishwa dawa ya wabakaji ni kuuwawa tu hakuna namna nyingine ni kupigwa risasi ya kichwa.
Acha ujinga wewe, Je wale wanaosingiziwa inakuwaje?
Kumbuka kuwa hukumu hizi hufanywa na binadamu ambao wengine hawajui ukweli wa jambo, hivyo hutoa maamuzi yasiyo sahihi.
 
Mwaka fulani nilikuwa field murad sadiq secondary ipo turiani,morogoro.kwakweli yale macho ya yule mwanafunzi wa kidato cha tatu alivyokuwa anarembua kama mtu anataka kukata roho sipingani na hoja yako...ila kikubwa lazima mwalimu ubaki kama mlezi wake tofauti na hapo umeisha.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Wengine tunawaona humu kutwa kucha!
 
Watafungwa maboya tu,labda wafungwe na Yanga
 
Dawa ya Mwalimu aliye baka ikibainika na kuthibitika ni kumuuwa tu hakuna mjadala.
Mbona unapenda kuua, kwani watoto wa shule wanabakwa na Walimu tu?, kwa hiyo mtu mwingine asiye Mwalimu akimdinya Mwanafunzi inakuwa ni sawa?, shida ni kudinywa na Mwalimu? Hivi Walimu wamewakosea nini kwenye jamii ya Kitanzania, kwanin umseme vibaya Mwalimu aliyekufanya kujua hata kutumia JF?, Waombeeni Walimu waepukane na pepo chafu za kudinya wanafunzi lakini waheshimuni sana kwa kuwa ndiyo wajenga taifa hili.
 
Mwalimu
1.mshahara mdogo
2.yeye ndo punching bag yaan weo, veo, ded, dc, rc wote wanamkoromea mwalim
3.wanafunz wanamsema vbaya
4.vident vinajipendekeza, akivigonga kesi ya ubakaji
5.wanakopa kilq kona

mpwayungu village hawa watu wamekosea nn???
Laana, wabadilike shida Yao ni chanzo cha kuiba kura za wananchi nakusaidiana na dola kuisaidia ccm kupita bila ridhaa ya wananchi
 
bora wauwawe tu.
kama una mguu wa kuku na ikathibitika kuwa amemuharibu mtoto unasubiri nini, mwaga ubongo tu.
Na nyinyi mafisadi mnaofilisi nchi, tuanze lini kuwaua kwa mawe?
 
kwasababu wabakaji ni sawa na wauaji hivyo adhabu yao wanayo stahiki ni kuuwawa tu.
nimewahi kushuhudia binti kafanyiwa Ukatili wa kubakwa inasikitisha sana.
lazima tuwalinde watoto wa kike kwa nguvu zote ikibidi kuwangamiza wabakaji.
njia pekee ni kumwaga ubongo wao.
 
Na nyinyi mafisadi mnaofilisi nchi, tuanze lini kuwaua kwa mawe?
tuanze kwanza na wabakaji maana watoto wa kike wanaangamia.
matukio kila kukicha mara mwalimu kabaka mara bodaboda kabaka, shuleni kabakwa, nyumbani kabakwa.
tunaze kwanza kuwauwa wabakaji maana hawafai kwenye jamii, wanawaangamiza watoto wa kike.
 
Acha hizo kwamba wanafunzi kufanya mapenzi na walimu au wenyewe kwa wenyewe imeanza leo,wote tunajua haijaanza leo ndio maana sheria imewekwa kupambana na tatizo hili sugu,acha kujiendekeza.
 
tuanze kwanza na wabakaji maana watoto wa kike wanaangamia.
matukio kila kukicha mara mwalimu kabaka mara bodaboda kabaka, shuleni kabakwa, nyumbani kabakwa.
tunaze kwanza kuwauwa wabakaji maana hawafai kwenye jamii, wanawaangamiza watoto wa kike.
Hao watu wanabaka kirahisi wanafunzi, kwa sababu ya sera zenu mbovu. Mnajenga shule zisizo na mabweni! Na mwisho wa siku watoto wa maskini wanaishia kubakwa na kupewa mimba.

Nyinyi mambuzz nawaapia, siku zenu za kuwepo madaakani zinahesabika.
 
Si kweli mkuu,Mimi ni mwalimu kwa miaka 18 sasa hivi nimefundisha maeneo mengi sana,mwanza,Lindi,Simiyu ,Mara na Geita ila sijawahi kuona binti /mwanafunzi akimtongoza mwalimu wake,kiufupi tu sijawahi kutongozwa na nwanafunzi,by the way huyu ni mtoto hata kama atamtongoza mwalimu maadamu mwalimu ni mkubwa anapaswa kukataa.

Hivyo sheria izingatiwe na waovu watiwe nguvuni

Hali ya mwanafunzi kujilengesha kwa mwalimu huletwa na mwalimu mwenyewe baada ya kujulikana kuwa anatabia ya kulala na wanafunzi.
 
Mleta mada ndo wale wa mheshimiwa hakimu, alitaka mwenyewe.
 
una safari ndefu sana ipo siku utamlala mtoto wako ukiulizwa utasema ALIKUTEGA Ukashindwa kuvumila
kwani Mkuu si umemesaidia?? unafurahi nini anapo hangaikia me??? sasa muache akapate Gonnorrhea..... mbaya zaidi ukimwi!....kwani kuonja tu kale kadude na akabaki salama kuna ubaya gani??

ni rohombaya tu akiomba mpe bila masharti!.....
 
Basi una Bonge la kimavi! ndo maana bado ni mwalimu mpka leo!! ke wananusaga nyota za mafanikio! ndo wanachotaka kwa me!! Yusufu alibakwa na mke wa Potifa,

kati ya wafanyakazi wengi waliokuwa palee kwa potifa!! hata maofisa wakubwa yule mke aliwakataa, akamtamani yusufu tu!! km wewe una nyota ni nani!! usibakwe na wanafunzi vigori?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…