Walinzi (Makomandoo) na Wapishi wa Simba SC mliokuwa zamu Derby ya Novemba 5, 2023 Albadiri itatulipia machungu yetu kwa usaliti wenu

Mkuu hiyo ndiyo faraja yao,sasa hivi hawana faraja tena ila wanasingizia Uchawi!
Acheni wapitie hatua zote za Grieving. Sasa hivi bado wapo kwenye hatua ya denial...polepole tu mpaka watafikia kwenye hatua ya acceptance japo inavyoonekana itachukua muda. Wapeni muda.

Kumbe kupigwa Khamsa ni kasheshe aisee. Timu nzima imepotezana kila mtu ana lake. Sad!
 
Kubalini mmezidiwa na timu bora hizo propaganda unazoleta hazifuti matokeo yaliyopita Mkuu
 
Soka la bongo haliwezi kuendelea kama tutakuwa watu wa mfano wa gentamine na imani zetu za ushirikina tu
Hapo ndipo utawajua watu wanaoamini ushirikina Mkuu!
Hivi timu za Ulaya zinazogongwa mabao kibao, pia nazo huwa zimerogwa? au ni bongo tu🀣🀣🀣
 
Dah,utajiri nauona..mkuu nahitaji info kuhusu huyo mganga mwenye titi 1,nimepewa masharti na mganga burundi kua nikifanyiwa blowjob na demu mwenye titi 1 nakua mo a.k.a dangote a.k.a sm
 
Soka la bongo haliwezi kuendelea kama tutakuwa watu wa mfano wa gentamine na imani zetu za ushirikina tu
Ni sahihi na sio huyu tu ila mashabiki wengi wa Simba kama mapunguani. Ni kweli Rage alikuwa sahihi. Man U mwenyewe kapigwa 7, Liver naye kapigwa 7. Sasa nyie kupigwa tano eti wamehongwa. Wamehongwa na nani? Msiturudishe nyuma, tusongeni mbele.
 
Uko vizuri kwenye fiction stories, andika kitabu tutanunua Mkuu.
 
Kubalini yale maji mlomwaga ndo kila kitu... πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† 🐸 🐸
Sasa kama maji ndo yamesababisha kufungwa kwenu, haya niambie;

1. Wachezaji waliosimamishwa baada ya Simba kufungwa na Yanga, imekuwa hivyo kwa sababu gani na wakati maji ndo tatizo?

2. Kocha mmemfungisha virago kisa kufungwa na Yanga, imekuwa hivyo kwa sababu gani na wakati maji ndo tatizo?

3. Kama maji ndo kila kitu, Mangungu anashinikizwa kujiuzulu kisa nini.?? Imekuwa hivyo kwa sababu gani na wakati maji ndo tatizo?

MSIPOKUBALI UKWELI KWAMBA MMEZIDIWA UBORA, HAMTAFANYA JUHUDI ZOZOTE ZA KUONGEZA UBORA, NA HIVYO KUPELEKEA KUBAKI MLIVYO.
 
Na ww hebu tupishe huko...unaanza kuboa sasa...Simba mbovu labda ya kwako..kwahyo ubovu ni kufungwa na Yanga tuu??.nilikua naona kuna muda unaandika point ila naona unaanza kupuyanga...kila kocha ana falsafa zake...tuone huyo atakaekuja atawatumiaje wachezaji..
Kama umehama kuishabikia timu yetu ww sepa acha kubeza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…