Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Acheni wapitie hatua zote za Grieving. Sasa hivi bado wapo kwenye hatua ya denial...polepole tu mpaka watafikia kwenye hatua ya acceptance japo inavyoonekana itachukua muda. Wapeni muda.Mkuu hiyo ndiyo faraja yao,sasa hivi hawana faraja tena ila wanasingizia Uchawi!
Kumbe kupigwa Khamsa ni kasheshe aisee. Timu nzima imepotezana kila mtu ana lake. Sad!