Walinzi wa kampuni ya SUMA JKT GUARD wana matatizo ya kisaikolojia

833kj oljoro.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
... hivi kima cha chini nchi hii kwa ajira rasmi kama hizo za SUMA ni sh. ngapi? How comes SUMA, kampuni ya serikali, wanalipa chini ya kima cha chini? Ajabu sana hii kitu!
Ilikuwa laki na 40 saa hivi nasikia laki na 80 na hapo umepanga nauli unajilipia chai unajilipia na chakuka unajilipia yaani posho inaisha kabla hujaipokea ila kwenye karatasi ya mkataba wa askari na kampuni au taasisi inayohitaji askari nasikia bei ni ndefu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Kunasiku nimeshuhudia wanamfinya raia mmoja ndani ya kivuko cha magogoni kosa lilikua jamaa kajipiga selfie kwenye kivuko
 
pole sana ndugu na jamaa, Mungu amuweke pahala panapostahili, hasa kama alimpokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wake.
 
SUMA JKT wengi wao hawajui weledi wao wa kazi manake mlinzi professional huwa hapigi raia bali jukumu lake ni kuilinda mali na kumhakikishia usalama wake huyo raia hata kama ni suspect.

Pia mlinzi professional amefundishwa namna ya kukabiliana na intruder sio kupiga tu kama hawa jamaa wanavyowafanyia raia bali anahakikisha anamdhibiti then kuliport kwa mamlaka husika.

Sasa hawa SUMA wakiwa kazini wao hujiona kama wapo vitani hawana ethics zaki professional security kabisa.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu hapa ofisini kuna kajamaa cha SUMA JKT yeye ukimuangalia dhahiri unajua kichwani hayupo sawa age yake ni km 26 hivi.

Kuna siku naingia getini akaniita akaanza kunielezea matatizo ya yeye na demu wake mwisho wa siku akanambia kwamba yule dem akiendelea kumkataa kuna siku ataiba bunduki ataenda kummaliza.
 
Na wao wanataka waitwe maafande ukiwaita walinzi kama haujaiva vizuri watakupelekesha sana
 
Hawa wangepelekwa mgodini Bulyanhulu kwa acacia wawape darasa safi la ulinzi
 
Hawa wangepelekwa mgodini Bulyanhulu kwa acacia wawape darasa safi la
Anahitaji kuoshwa akili
 
Hakika wewe utakuwa ni mzazi. Umeandika maneno yenye hekima sana mkuu.

Watu wanawacheka vijana wa SUMA badala ya kuwatia moyo.

Kwani kuna vijana wangapi tumemaliza nao form four na wameshindwa kwenda five na six?

Suala la kuwa na madaraja katika jamii ni kawaida sana mbona hata Ulaya ipo?

Komaeni vijana wenzangu wote muwe SUMA JKT, MGAMBO au hata raia wa kawaida unayepambana kujikomboa kiuchumi, Mungu atawafungulia milango ya baraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…