Walinzi wa Rais Samia wanajisahau, uko wapi usalama wa Rais hapo?

Kwani walinzi wa samia ndio hao wawili tu?
 
Kwamba yeye hawezi kujizuia hapo mpk walinzi wawepo,!! Acha zako, labda umri ungekuwa umemtupa sana kama the late Mugabe
Angalia walinzi wameweka umakini sehemu gani?
Kwa mfano akajisikia vibaya kama ilivyotokea kwa Kikwete jukwaani au kwa Magufuli alipoona moshi kule Ruangwa nani angemdaka Mh.Samia?
Hujawai kujisikia kizunguzungu ghafla?
Walinzi wote hadi mpambe (Aide de camp) wametazama pembeni , hapa walinzi wa jinsia ya kike wamewaangusha wanawake wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…