Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni hii kitu hapo chiniBashiru Ali na chawa wa jiwe wanatamani wamsukumie humo
Angalia walinzi wameweka umakini sehemu gani?Kwamba yeye hawezi kujizuia hapo mpk walinzi wawepo,!! Acha zako, labda umri ungekuwa umemtupa sana kama the late Mugabe
Wale ndio walio karibu zaidi ikitokea shida wanampa cover au wanamdaka akitaka kuanguka kama mzee Kikwete alivyo pata tatizo jukwaani, au JPM kwenye gari kule Ruangwa.Kwani walinzi wa samia ndio hao wawili tu?
Nchi imezungukwa na maziwa makuu lakini maji ya kuchungulia kwenye visima. Hii CCM ni janga la Taifa.Picha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
View attachment 2423413
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2935]Pengine hata anatamani atumbukie.
Kazi nzuri ya magu.Naona ADC na huyo wa Kijitonyama Kuna kitu wanaangalia pembeni Kule.
Mnaonaga hao Ni miungu watu? Kwan yule mwengne Yuko wapiPicha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
View attachment 2423413