Walinzi wa rais wetu fitness yao vipi?

Unataka kusema tangu anapitia mafunzo kitambi kilikuepo? Kama hakikuepo kwanini sasa hivi kipo?
Kama kilikuepo, inawezekana vipi mtu anayepitia mafunzo ya ufiti akatoka kitambi?
mda mwingine mazoezi tu sio tiba ya kitambi, mfano mcheza karate maarufu SAM HUNG ni mwepesi na ana routine phyisical workout lakini ana kitambi au naye ni mdebwedo hana mazoezi?
 
Logically umri wa kufanya kazi hii ni umri ambao muhusika anaweza kuwa fiti kimazoezi na purukushani ikibidi,hawa Wana mbinu za kiualama kichwan lakin Nina mashaka na miiliyao ikija ktk utekelezaj wa kivitendo
 
mda mwingine mazoezi tu sio tiba ya kitambi, mfano mcheza karate maarufu SAM HUNG ni mwepesi na ana routine phyisical workout lakini ana kitambi au naye ni mdebwedo hana mazoezi?
Inategemea na kitambi aina gani.
Embu ingia Youtube...search huyu mtu ROY NELSON aka BIG COUNTRY halafu njoo unipe mrejesho.
 
mda mwingine mazoezi tu sio tiba ya kitambi, mfano mcheza karate maarufu SAM HUNG ni mwepesi na ana routine phyisical workout lakini ana kitambi au naye ni mdebwedo hana mazoezi?
Unajua Sammo Hung kabla ya kuigiza Eastern Condors alikua na kilo ngapi? Akazipunguza mpaka ngapi ili aendane na kasi?
 
Unaona kitambi uzembe cha huyo wa kushoto?nae utasema yupo fiti balaa na ni mwepesi hatari,hahaha,
we unafikiri si lolote ama vipi, vijana tusiparamie mambo twendeni taratibu, hao unaowaona wana mazoezi mazito ambayo wewe ukiyafanya utalala wiki nzima kitandani
 
Hii simple sana kupruvu kama wako fiti ama matumbo tu. Vizia rais akiwa sehemu halafu fanya uwezelo umtemee mate kishe uje uhitimishe mjadala wa uzi wako kwa kuweka hitimisho sahihi.
Tatzo la hilo ni kuichezea sheria pia
 
we unafikiri si lolote ama vipi, vijana tusiparamie mambo twendeni taratibu, hao unaowaona wana mazoezi mazito ambayo wewe ukiyafanya utalala wiki nzima kitandani
Mazoezi hayafanywi kama umeshika kaa la moto, unaanza kwa vipimo. Kwahiyo kama leo wewe ukifanya ukalala kitandani jua na mwenzako alilala kitandani.

Tuache kutishana
 
Unataka kusema tangu anapitia mafunzo kitambi kilikuepo? Kama hakikuepo kwanini sasa hivi kipo?
Kama kilikuepo, inawezekana vipi mtu anayepitia mafunzo ya ufiti akatoka kitambi?
Hawataki kuuuona ukwel kwamba hawa watu hawajishughulishi na mazoezi na wanalinda kimazoea tu na protokali kakini hawajifui kubaki fiti kimwili,
 
Unajua Sammo Hung kabla ya kuigiza Eastern Condors alikua na kilo ngapi? Akazipunguza mpaka ngapi ili aendane na kasi?
mnachokitaka nyie ni mionekano ya vifua na sio utendaji kazi, IDD AMIN alikuwa komandoo mwenye mazoezi ya kutosha lakini alikuwa na kitambi, fanya uwaingilie katika jukum lao na mazoezi yako ya gym ili uone kitakachotokea mkuu
 
Jibu lako jepesi sana.

Kwahiyo tuna walinzi wachache wa kumtosha raisi aliyepo madarakani? Hao wengine wakafie mbele
Haraf Kwa sababu ni rais mstaafu ndio apigwe mpaka vibao?duh
 
Hawataki kuuuona ukwel kwamba hawa watu hawajishughulishi na mazoezi na wanalinda kimazoea tu na protokali kakini hawajifui kubaki fiti kimwili,
Kibaya zaidi hilo tatizo lipo mpaka kwa askari wa kawaida. Hawafanyi mazoezi mpaka wasikie kuna maandamano ndiyo maana majambazi wanatamba.
 
Haha ivi hilo neno TANGANYIKA JEKI asili yake ni kabla ya Muungano ama?
Je Zanzibar vp kuna Zanzibar jeki?
Ama Tanganyika Jeki inatumika hadi upande mwingine wa Muungano yani Zanzibar??
Na vp nchi Jirani nao wanatumia Tanganyika Jeki ama wana jeki zao? Say Kenya Jeki ama Uganda jeki?
 
Umeona eeh,alikuwa analindwa na hawahawa wenye vitambi vyao wkamuangalia tu mpaka akampiga vibao mwinyi
kwanini rais Bush alirushiwa kiatu akakikwepa yeye mwenyewe licha ya kuwa na walinzi makini wasio na vitambi? jibu tafadhali
 
mnachokitaka nyie ni mionekano ya vifua na sio utendaji kazi, IDD AMIN alikuwa komandoo mwenye mazoezi ya kutosha lakini alikuwa na kitambi, fanya uwaingilie katika jukum lao na mazoezi yako ya gym ili uone kitakachotokea mkuu
Hapo sasa ndiyo unapokosea wewe na kila mwenye mawazo kama yako.

Mkiulizwa mnakimbilia kusema "Waingilie kwenye majukumu uone"

Mazoezi ya gym hayatoshi kwenda kupambana na mtu ambaye anafanya plyometrics na kuupeleka mwili wake to the extreme, niambie kama unafanya plyometrics unaweza kutoka kitambi?

Avatar yako unaonekana umekaa stance ya mapigano natarajia jibu lenye akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…