Walinzi wa rais wetu fitness yao vipi?

Tatizo la wabongo wengi ni ujuaji,mtu kaangalia muvi mbili tatu anakuwa mchambuzi,bodyguard moja ya sifa zake kubwa ni shabaha,mtu wa kumuattack rais hakabiliwi na ngumi wala karate,hakuna huo muda wa kukunjana
 
Kwahyo hata wewe hayo unayojibu umejitia ujuaji pia?maana nawewe umechambua bodyguard Ana sifa zipi,kwahyo rais hawez kushambuliwa Kwa karibu?naona kama umelitazama hili suala Kwa fikra fupi mno mwisho ukajitia ujuaji zaid
 
Binafsi nawafahamu na kuwaelewa wawili kati ya walinzi wa Magu, japo ni wanene kiasi bado ni wakakamavu na wako vizuri.
 
Kwanini hao walinzi wa Mandela wameweka mikono ndani ya koti?

Wanashika nini?
 
Duh ni wakati gani kisheria unatakiwa upigwe Tanganyika jeki?
Mana unakuta mtu kapigwa Tanganyika jeki lakini hasumbui
Wakati mwingi huwa ni mkwara tu wa mandata unakuta mtu mpole kabisa ila njagu anataka kuonyesha ugangwe wake basi ndio hivyo tena lazima kucha zichukue nafasi ya nyayo.
 
Wewe kama una shaka wajaribu jifanye mwehu utake kumdhuru rais ndo ulete mrejesho kama ukiwa hai lakini
 
Ukubwa wa pua...ukubwa wa makalio..... ukibwa wa dyudyuuu....
 
Wakati mwingi huwa ni mkwara tu wa mandata unakuta mtu mpole kabisa ila njagu anataka kuonyesha ugangwe wake basi ndio hivyo tena lazima kucha zichukue nafasi ya nyayo.
Je kukataa kupigwa tanganyika jeki inaweza kutafsirika kua umekataa kutii sheria bila shuruti?
 
Unaangalia mwili eeeh? Kwnza m2 mkakamavu hyo mpaka anamkaribia raisi ana ubavu gani? Kabla hujafnya chochote ushachezea Risasi si chini ya 20 !! NYAMBAFU
Kwa maelezo zaid JARIBU UONE [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

~Cmb
 
Ukimuona muheshimiwa jarbu kumsogelea alaf utaleta mrejesho kama wapo fiti
 
Km hao wa Madiba wanaonekana hawana mzaha kabisa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…