kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Hata kama siyo koongozi kifumna macho siyo jambo la lazimaUkiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi awwfuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
Bila shaka kinenechembambaUkiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi awwfuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
HahahahaUnataka wafumbe ili ufanye nini afu we umewaonaje wakati watu wote tumefumba macho.
Kitu cha kwanza kufikiria baada ya kusoma heading tu ya uziIla kuna watu ni Vilaza,
Sasa Swali gani hili.
HahahahhahahaahhaMaswali ya kitoto. Mwishoe utuulize kwanini dereva wa basi hasinzii wakati wa safari.
Kuna vitoto humu JF vinakaa na kuibuka na nyuzi za kijinga jinga.Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi awwfuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?