Walinzi wa viongozi kutofumba macho wakati wakusali ni lazima kwa mujibu wa kazi yao au hiari yao?

Walinzi wa viongozi kutofumba macho wakati wakusali ni lazima kwa mujibu wa kazi yao au hiari yao?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi hawafuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
 
Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi awwfuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
Hata kama siyo koongozi kifumna macho siyo jambo la lazima

Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
 
Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi awwfuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
Bila shaka kinenechembamba
 
It takes a split second mtu kupull trigger. Sasa Bodyguard anafumbaje macho?
 
Hawakuja kwenye ibada. Hao wamekuja kazini.

wewe unataka wafumbe macho ili iweje?
 
Kanisani walinzi huwa waislamu na misikitini walinzi huwa wakristo ili kuzuia wasije jisahau waki concentrate kusali kiongozi akapata shida
 
Hakuna popote hiwe msaafu ama biblia panaposema ukiomba fumba macho
 
Nawewe umejuaje hawafumbi macho? Kama we si mlinzi, unapepesa macho una mpango gani hapo kanisani?
 
Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi awwfuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
Kuna vitoto humu JF vinakaa na kuibuka na nyuzi za kijinga jinga.
Shame - shame on you all totos!
 
Back
Top Bottom