Walioacha Ualimu na kukimbilia Siasa au shule binafsi nao wasakwe

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.

Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini.

Kuacha kazi serikalini na kwenda kwenye sekta binafsi kama hujakiuka masharti ya mkataba wa mwajiri wa kwanza ni kitu cha kawaida kwa mfanyakazi, na of course bado unahudumia fani yako na watanzania walewale.

Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni mtu kuacha fani aliyosomea na kufanya fani nyingine, wapo madaktari na walimu wengi wameacha fani zao wamekuwa wananasiasa hao ndio tatizo wanasababisha upungufu wa wafanyakazi kwenye sekta hizo, kwa sababu serikali inaweza kudhani ina idadi fulani ya walimu kumbe zaidi ya nusu wamekimbilia kwenye siasa ni wabunge au viongozi wa vyama vya siasa. Nashauri TAMISEMI ianze na hao.
 
Walishashughulikiwa hao. Wako wapi wale wakurugenzi walioenda kugombea wakakutana na nguvu ya Wajumbe?
 
Tuanze na yeye mwenyewe kwanini alikimbia kufundisha wanafunzi akaenda kuwa mbunge na sasa ni malaika mkuu mtumishi wa shetani.
 
Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.

Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini.

Kuacha kazi serikalini na kwenda kwenye sekta binafsi kama hujakiuka masharti ya mkataba wa mwajiri wa kwanza ni kitu cha kawaida kwa mfanyakazi, na of course bado unahudumia fani yako na watanzania walewale.

Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni mtu kuacha fani aliyosomea na kufanya fani nyingine, wapo madaktari na walimu wengi wameacha fani zao wamekuwa wananasiasa hao ndio tatizo wanasababisha upungufu wa wafanyakazi kwenye sekta hizo, kwa sababu serikali inaweza kudhani ina idadi fulani ya walimu kumbe zaidi ya nusu wamekimbilia kwenye siasa ni wabunge au viongozi wa vyama vya siasa. Nashauri TAMISEMI ianze na hao.
Mimi nina bahati baba yangu amenilipia ada ya udaktari miaka yote mitano na niko serikalini kuhudumia wananchi wangu ninaowapenda ila nina mpango wa kwenda private maana serikalini majungu sana.Wakinizingua nakwenda Botswana wananihitaji sana kule huku siasa zimezidi mno kuchanganya taaluma na siasa ni mbaya sana
 
Kwahiyo na rais naye pamoja na waziri mkuu wakamatwe siyo? Basi sawa!
Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.

Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini.

Kuacha kazi serikalini na kwenda kwenye sekta binafsi kama hujakiuka masharti ya mkataba wa mwajiri wa kwanza ni kitu cha kawaida kwa mfanyakazi, na of course bado unahudumia fani yako na watanzania walewale.

Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni mtu kuacha fani aliyosomea na kufanya fani nyingine, wapo madaktari na walimu wengi wameacha fani zao wamekuwa wananasiasa hao ndio tatizo wanasababisha upungufu wa wafanyakazi kwenye sekta hizo, kwa sababu serikali inaweza kudhani ina idadi fulani ya walimu kumbe zaidi ya nusu wamekimbilia kwenye siasa ni wabunge au viongozi wa vyama vya siasa. Nashauri TAMISEMI ianze na hao.
 
Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.

Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini.

Kuacha kazi serikalini na kwenda kwenye sekta binafsi kama hujakiuka masharti ya mkataba wa mwajiri wa kwanza ni kitu cha kawaida kwa mfanyakazi, na of course bado unahudumia fani yako na watanzania walewale.

Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni mtu kuacha fani aliyosomea na kufanya fani nyingine, wapo madaktari na walimu wengi wameacha fani zao wamekuwa wananasiasa hao ndio tatizo wanasababisha upungufu wa wafanyakazi kwenye sekta hizo, kwa sababu serikali inaweza kudhani ina idadi fulani ya walimu kumbe zaidi ya nusu wamekimbilia kwenye siasa ni wabunge au viongozi wa vyama vya siasa. Nashauri TAMISEMI ianze na hao.
[emoji1787]
 
Naona unataka kumfuatilia mzee wa kemestry na mathematik....
 
Back
Top Bottom