Walioacha Ualimu na kukimbilia Siasa au shule binafsi nao wasakwe

Walioacha Ualimu na kukimbilia Siasa au shule binafsi nao wasakwe

Lakini wangeambiwa kuwa ni kosa kuacha kazi serikalini na kuajiriwa ktk sekta binafsi tungewalaumu hao madaktari. Lkn kwenye mikataba yao na serikali hakukuwa na kipengele hicho. Hiyo sheria imetungwa ghafla na mtu mmoja sasa inabidi wahusika watumikie adhabu kwa kosa ambalo halikuwa kosa kisheria wakati linatendwa. Retrospective legislation. Hatari sana.
 
Politics unapojiona uko juu ya sheria nayo ni shida.
Acha kukomoana,roho safi ni kigezo cha kuitwa binadamu.
Civilization inakemea ujinga huo.
 
Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.

Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini.

Kuacha kazi serikalini na kwenda kwenye sekta binafsi kama hujakiuka masharti ya mkataba wa mwajiri wa kwanza ni kitu cha kawaida kwa mfanyakazi, na of course bado unahudumia fani yako na watanzania walewale.

Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni mtu kuacha fani aliyosomea na kufanya fani nyingine, wapo madaktari na walimu wengi wameacha fani zao wamekuwa wananasiasa hao ndio tatizo wanasababisha upungufu wa wafanyakazi kwenye sekta hizo, kwa sababu serikali inaweza kudhani ina idadi fulani ya walimu kumbe zaidi ya nusu wamekimbilia kwenye siasa ni wabunge au viongozi wa vyama vya siasa. Nashauri TAMISEMI ianze na hao.
Serikali iajiri kwanza madaktari wote walioko mtaani ndio waanze kutafuta wa kujazia.
 
Serikali iajiri kwanza madaktari wote walioko mtaani ndio waanze kutafuta wa kujazia.
Serikali haina uwezo wa kuajiri lkn inalazimisha waliojitafutia kazi warudi serikalini, ajabu.
 
We jamaa nakuona mshenzi sana mpk sa izi unafanya nn hujaondoka ?
 
Back
Top Bottom