Mbona unamsema mwalimu wa Kangi Lugola? Kaacha ualimu kakimbilia siasa 🤣 🤣 🤣 🤣Hii nchi kwa sasa inaendeshwa kisungu sungu,katiba imefichwa kwenye shamba la nyanya la marehemu Dada namba 1
Mbona unajiuliza jibu.Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi..
Mimi nina bahati baba yangu amenilipia ada ya udaktari miaka yote mitano na niko serikalini kuhudumia wananchi wangu ninaowapenda ila nina mpango wa kwenda private maana serikalini majungu sana.Wakinizingua nakwenda Botswana wananihitaji sana kule huku siasa zimezidi mno kuchanganya taaluma na siasa ni mbaya sanaSerikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.
Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini.
Kuacha kazi serikalini na kwenda kwenye sekta binafsi kama hujakiuka masharti ya mkataba wa mwajiri wa kwanza ni kitu cha kawaida kwa mfanyakazi, na of course bado unahudumia fani yako na watanzania walewale.
Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni mtu kuacha fani aliyosomea na kufanya fani nyingine, wapo madaktari na walimu wengi wameacha fani zao wamekuwa wananasiasa hao ndio tatizo wanasababisha upungufu wa wafanyakazi kwenye sekta hizo, kwa sababu serikali inaweza kudhani ina idadi fulani ya walimu kumbe zaidi ya nusu wamekimbilia kwenye siasa ni wabunge au viongozi wa vyama vya siasa. Nashauri TAMISEMI ianze na hao.
Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.
Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini.
Kuacha kazi serikalini na kwenda kwenye sekta binafsi kama hujakiuka masharti ya mkataba wa mwajiri wa kwanza ni kitu cha kawaida kwa mfanyakazi, na of course bado unahudumia fani yako na watanzania walewale.
Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni mtu kuacha fani aliyosomea na kufanya fani nyingine, wapo madaktari na walimu wengi wameacha fani zao wamekuwa wananasiasa hao ndio tatizo wanasababisha upungufu wa wafanyakazi kwenye sekta hizo, kwa sababu serikali inaweza kudhani ina idadi fulani ya walimu kumbe zaidi ya nusu wamekimbilia kwenye siasa ni wabunge au viongozi wa vyama vya siasa. Nashauri TAMISEMI ianze na hao.
[emoji1787]Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.
Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini.
Kuacha kazi serikalini na kwenda kwenye sekta binafsi kama hujakiuka masharti ya mkataba wa mwajiri wa kwanza ni kitu cha kawaida kwa mfanyakazi, na of course bado unahudumia fani yako na watanzania walewale.
Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni mtu kuacha fani aliyosomea na kufanya fani nyingine, wapo madaktari na walimu wengi wameacha fani zao wamekuwa wananasiasa hao ndio tatizo wanasababisha upungufu wa wafanyakazi kwenye sekta hizo, kwa sababu serikali inaweza kudhani ina idadi fulani ya walimu kumbe zaidi ya nusu wamekimbilia kwenye siasa ni wabunge au viongozi wa vyama vya siasa. Nashauri TAMISEMI ianze na hao.
Mbona unamsema mwalimu wa Kangi Lugola? Kaacha ualimu kakimbilia siasa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Walishashughulikiwa hao. Wako wapi wale wakurugenzi walioenda kugombea wakakutana na nguvu ya Wajumbe?