Walioacha Ualimu na kukimbilia Siasa au shule binafsi nao wasakwe

Lakini wangeambiwa kuwa ni kosa kuacha kazi serikalini na kuajiriwa ktk sekta binafsi tungewalaumu hao madaktari. Lkn kwenye mikataba yao na serikali hakukuwa na kipengele hicho. Hiyo sheria imetungwa ghafla na mtu mmoja sasa inabidi wahusika watumikie adhabu kwa kosa ambalo halikuwa kosa kisheria wakati linatendwa. Retrospective legislation. Hatari sana.
 
Politics unapojiona uko juu ya sheria nayo ni shida.
Acha kukomoana,roho safi ni kigezo cha kuitwa binadamu.
Civilization inakemea ujinga huo.
 
Paragraph ya mwisho umepiga penyewe.
 
Serikali iajiri kwanza madaktari wote walioko mtaani ndio waanze kutafuta wa kujazia.
 
Serikali iajiri kwanza madaktari wote walioko mtaani ndio waanze kutafuta wa kujazia.
Serikali haina uwezo wa kuajiri lkn inalazimisha waliojitafutia kazi warudi serikalini, ajabu.
 
We jamaa nakuona mshenzi sana mpk sa izi unafanya nn hujaondoka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…