Walioandaliwa kuipigia "debe" Tozo waanza kujitokeza, leo ni Steve "Nyenyere"

Hapo ashaingiza posho yake Safi....uchawa unalipa ukijitoa akili.

Fursa hiyo wakuu, changamkieni
 
Hivi huyu tukimuitia mwizi tukamchoma Moto tutakuwa na kesi so kibaka Kama vibaka wengine??
 
Haka kajamaa kalikochanganyikiwa haka kapigwe ban kutumia jina la Mwl. Mwl Anaheshimika ndani na nje, Sasa mtu kama huyu kwa Nini anamdhalilisha na sisi tuko kimya? Haiwezekani..
 
Umenena vyema sana sana! I wish kila mtu angesoma hapa
 
Nitaongea na best amnyime dawa akienda kuchukua Kilosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…