Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Hahaaa akina Ricardo Calvalho, Ivanovic, kulikuwa na akina Bolalhuz, JT, Paulo Perreira, Glen Johnson, kulikuwa na mjerumani mmoja hivi mrefu.Bila kusahau wale mabeki wa Chelsea🤣
Robert Huthkulikuwa na mjerumani mmoja hivi mrefu.
Mirovic Kross, Kolo Toure, Michael Trezguet, Roy kean na. Roby keanNedved, Michael ballack, Patrice Viera, thiery Henry, Michael essien, makelele,Nestroy...
Kuna jamaa wa Liverpol mzee wa kuwakadiria makipa akiwa kati kati ya uwanja anaitwa Alonso aliwalaza na viatu AC MILANHahaaa akina Ricardo Calvalho, Ivanovic, kulikuwa na akina Bolalhuz, JT, Paulo Perreira, Glen Johnson, kulikuwa na mjerumani mmoja hivi mrefu.
Kimsingi zamani ndio kulikuwa na mpira bro. Nakumbuka Chelsea Vs Barcelona game ya 2005. Pia kulipigwa game ya Chelsea VS Liverpool ngoma ikaisha 4 kwa 4. Huwa naikumbuka ile game na kuna muda huwa naiangalia YouTube.
Na sisi wa akina Pele na mabo goseji tukomenti vipi?Tuanzie tu hapa 2005-2020 Nyota waliobamba je kwa Sasa Kuna wakufananisha nao?
1. Zidane
2. Ronaldo
3. Messi
4. Rooney
5. Gigs
6. Vandesir
7. Peter check
8. Inesta
9. Xavi
10. Drogba
11. Robin Vanpursie
12. Arjen Roben
13. Diego Folan
14. Vidic
15. Steven Gerarld
16. Lampard
17.Aguero
18. Etoo
1
Kipindi hicho hata ukiweka mkeka unashinda Barcelona ilikuwaga Moto , hii man u inayounga unga ilikuwa balaa, Yule Tores wa Liverpool vipi?
Hiki kizazi Cha juzi kimakosa uhondo kweli kweli embu ongeza Majina mengine
Ni sahihi. Game yangu bora ya muda wote ni ya Chelsea chini ya Master Guus Hiddink na Liverpool chini ya mzee wetu Benitez.Ukisikia Derby man u na liver au Chelsea na arsenal au man u na mancity au Madrid na Barcelona zilikuwa mechi kweli kweli saivi unaweza hata usijue Kama wanacheza😪
Lilikuwa refu na giant fulani hivi.Robert Huth
Derby ya Man u ni vs man city. Liver vs Everton. Liver vs man u ni big game not derbyUkisikia Derby man u na liver au Chelsea na arsenal au man u na mancity au Madrid na Barcelona zilikuwa mechi kweli kweli saivi unaweza hata usijue Kama wanacheza😪