Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Tuanzie tu hapa 2005-2020 Nyota waliobamba je kwa Sasa Kuna wakufananisha nao?

1. Zidane
2. Ronaldo
3. Messi
4. Rooney
5. Gigs
6. Vandesir
7. Peter check
8. Inesta
9. Xavi
10. Drogba
11. Robin Vanpursie
12. Arjen Roben
13. Diego Folan
14. Vidic
15. Steven Gerarld
16. Lampard
17.Aguero
18. Etoo
19. Bekham
20 . Thienry Henry
21. Gaucho
Kipindi hicho hata ukiweka mkeka unashinda Barcelona ilikuwaga Moto , hii man u inayounga unga ilikuwa balaa, Yule Tores wa Liverpool vipi? Wachezaji wenye goli 20 wanakaa Benji Kama chicharito 🤣 saivi mfungaji Bora wa man u anagoli 10

Hiki kizazi Cha juzi kimakosa uhondo kweli kweli embu ongeza Majina mengine
 
Bila kusahau wale mabeki wa Chelsea🤣
Hahaaa akina Ricardo Calvalho, Ivanovic, kulikuwa na akina Bolalhuz, JT, Paulo Perreira, Glen Johnson, kulikuwa na mjerumani mmoja hivi mrefu.

Kimsingi zamani ndio kulikuwa na mpira bro. Nakumbuka Chelsea Vs Barcelona game ya 2005. Pia kulipigwa game ya Chelsea VS Liverpool ngoma ikaisha 4 kwa 4. Huwa naikumbuka ile game na kuna muda huwa naiangalia YouTube.
 
Kuna jamaa wa Liverpol mzee wa kuwakadiria makipa akiwa kati kati ya uwanja anaitwa Alonso aliwalaza na viatu AC MILAN

Mwingine Milan Baros
 
Tuanzie tu hapa 2005-2020 Nyota waliobamba je kwa Sasa Kuna wakufananisha nao?

1. Zidane
2. Ronaldo
3. Messi
4. Rooney
5. Gigs
6. Vandesir
7. Peter check
8. Inesta
9. Xavi
10. Drogba
11. Robin Vanpursie
12. Arjen Roben
13. Diego Folan
14. Vidic
15. Steven Gerarld
16. Lampard
17.Aguero
18. Etoo
1
Kipindi hicho hata ukiweka mkeka unashinda Barcelona ilikuwaga Moto , hii man u inayounga unga ilikuwa balaa, Yule Tores wa Liverpool vipi?

Hiki kizazi Cha juzi kimakosa uhondo kweli kweli embu ongeza Majina mengine
Na sisi wa akina Pele na mabo goseji tukomenti vipi?
 
Ukisikia Derby man u na liver au Chelsea na arsenal au man u na mancity au Madrid na Barcelona zilikuwa mechi kweli kweli saivi unaweza hata usijue Kama wanacheza😪
Ni sahihi. Game yangu bora ya muda wote ni ya Chelsea chini ya Master Guus Hiddink na Liverpool chini ya mzee wetu Benitez.

Game iliisha 4 kwa 4. Ilikuwa game nzuri sana ile bro. Kuna game ya ManchesterUnited dhudi ya Real Madrid sikumbuki ni mwaka gani ila 2004 shuka chini. Madrid ya akina Beckham, Zidane na De Lima wakawa wanamtungua tu Bartez.
 
Starehe zimeongezeka, wale wapenz wa mpira wamebaki nao wengine wamehamia kwingine.

Tofauti na wenzetu huko ulaya, mpaka kesho viwanja vinatapika raia maana ni kitu wanapenda toka kitambo pamoja na kua na option ya starehe nyingine kibao zilizokuwepo wakati huo.
 
Ukisikia Derby man u na liver au Chelsea na arsenal au man u na mancity au Madrid na Barcelona zilikuwa mechi kweli kweli saivi unaweza hata usijue Kama wanacheza😪
Derby ya Man u ni vs man city. Liver vs Everton. Liver vs man u ni big game not derby
 
Back
Top Bottom