Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Magufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.
Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia
Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.