Waliodanganywa na hayati Magufuli wazae watoto wengi ndio leo wanamlilia Rais Samia maisha ni magumu

Waliodanganywa na hayati Magufuli wazae watoto wengi ndio leo wanamlilia Rais Samia maisha ni magumu

Wapinzani walikuwa wanatuchelewesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye kawawaisha kwenye.......
 
Ni rahisi kulaumu ndio maana ni kimbilio la wengi kuliko kutoa suluhisho. Hiyo assumption uliyoiweka ingekuwa ni kweli bhasi ungekuja na data za ongezeko la watu toka kauli imetolewa hadi leo lakini unachofanya ni kutaka kumuangushia mzigo wa lawama kana kwamba aliitoa nchi kwenye developed hadi LDC' status

Naweza nisikubaliane na Magu sehemu nyingi lakini msimtwike mizigo zaidi ya anayostahili
Mashujaa wa nyuma ya keyboard wakikosa cha kuandika wanakuja na nyuzi za kitoto kama hizi.
 
Ukiwa laghai mwenye maneno matamu lazima utateka wengi sana kwa jamii yenye wajinga wengi kama Bongo,
Mwamposa alijaza uwanja wa taifa watu wanaamini miujiza yake
Sasa wewe unajiona mjanja kisa umekuwa CHAWA? Hahahhaa
 
Magufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.

Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia

Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Hiyo sample umeipata wapi? Mbona kuna wengine hatujawahi kuongeza hata mtoto mmoja tangu Magu aingie madarakanj hadi leo lkn life liko tight? Hebu tusolve matatizo yaliyopo badala ya kumkalia vibarazani Magu na huyo mama yenu kumpa kila lililo baya
 
Magufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.

Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia

Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Kama huweki takwimu utabaki kuwa mjinga tu.

Sensa ndio kipimo, tuambie watu wangapi wameongezeka kwa sababu ya kauli ya Magufuli.
 
We mtu ni mpumbavu sana!

Kwamba hao watoto ndio wamesababisha haya?
[emoji116]
20230105_112106.jpg
 
Punguza dharau kijana, unamaanisha maisha yamekuwa magumu sababu watu wamezaa watoto wengi?
Unajua hata bei kilo ya maharage?
Atajulia wapi mkuu?

Anaishi kwa shemeji alikoolewa dadake! Si unajua wa Zanzibar wanavyorundikana?
 
Ccm mmekuwa kama mafala sasa,Yaani mnamshindanisha Samia na marehemu mtu ambaye hawezi amka kujibu tuhuma zenu,njaa itawashikishwa makalio
 
Aliwafanya watu kutofikiria kabisa!
Na kundi kubwa la wanyonge wavivu, wenye wivu na chuki likawa wafuasi wake huku akigawa pesa barabarani
 
Back
Top Bottom