Waliodanganywa na hayati Magufuli wazae watoto wengi ndio leo wanamlilia Rais Samia maisha ni magumu

Ok sawa, lakini kama huyo mwenye watoto 9 ni Bakhresa, na huyo mwenye watoto wawili ni Pauline Zongo unadhani nani hapo ataona maisha ni magumu?
Mtu kama Bakhressa kama ana watoto 9, hao aliwapata kutokana na mipango yake mwenyewe na alijua nini anafanya.

Ila jamaa yangu kule Mwanambilimbi ambaye uwezo wake ni watoto 3 yeye akisikia rais kasema zaa zaidi, anazaa haswa bila kujua kuna nyakati ngumu za ukame
 
Magufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.

Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia

Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Shaka alikazia maneno hayo hayo huko Geita kama sijakosea
 
Magufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.

Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia

Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Natamani niwe kama Marehemu Magufuli huko mbelani.

Jamaa aliwezaje kugain hii popularity? Haiishi siku hajaandikwa yaani.

Natafuta watalaam hili jina liwe linalipiwa familia ile pesa.
 
Mtu kama Bakhressa kama ana watoto 9, hao aliwapata kutokana na mipango yake mwenyewe na alijua nini anafanya.

Ila jamaa yangu kule Mwanambilimbi ambaye uwezo wake ni watoto 3 yeye akisikia rais kasema zaa zaidi, anazaa haswa bila kujua kuna nyakati ngumu za ukame
The point is, nani atalalamika maisha ni magumu?
 
Magufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.

Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia

Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Baadhi ya ahadi ambazo jiwe aliwaaminisha watu wajinga zilikuwa kama zile za Kinjeketile wakati wa vita vya Majimaji. Wanyonge walijilipua kwa ahadi kemkem, kumbe zote zilikuwa ni kamba tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani niwe kama Marehemu Magufuli huko mbelani.

Jamaa aliwezaje kugain hii popularity? Haiishi siku hajaandikwa yaani.

Natafuta watalaam hili jina liwe linalipiwa familia ile pesa.
Ukiwa laghai mwenye maneno matamu lazima utateka wengi sana kwa jamii yenye wajinga wengi kama Bongo,
Mwamposa alijaza uwanja wa taifa watu wanaamini miujiza yake
 
Wanaume waoga wanazidi kuongezeka
Mungu nusuru uzao wetu
Kuna wakati woga unaweza kuwa ndio akili na ujasiri ukawa ndio upumbavu

Mimi naweza kuwa na kiasi sawa cha rasilimali na mwingine, ila mimi nikawa "mwoga" wa kutumia kwa kuhofia kuwa mbeleni lolote linaweza kutokea, mwingine akawa jasiri wa kujilipua,
 
Back
Top Bottom