Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kijana tafadhali usimseme mungu wao.
Watakuua.
Watakuua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoka hapo kwa shemeji yako ndio utaelewa kama una koment ujinga ama la
Shemeji yangu yupi?nipo kwangu mzee njoo nikupe kibarua cha kupalilia mahindi huku buzirayomboOndoka hapo kwa shemeji yako ndio utaelewa kama una koment ujinga ama la
Dah, aiseee tulipita kipindi kigumuAliwafanya watu kutofikiria kabisa!
Na kundi kubwa la wanyonge wavivu, wenye wivu na chuki likawa wafuasi wake huku akigawa pesa barabarani
Mkuu uzazi wa mpango ni mpango mahususi ulioandaliwa na NWO Cabal wa kupunguza watu dunianiani.Infavct Bill Gates hajaficha,he says he is offering 7billion plus US$ to depopulate Africa through Birth Control Programmes and abortions.Sasa ungetaka mkuu watu wawe blunt vipi zaidi kuhusu nia zao ovu against Africa and humanity in general.Mathanzua anasemaje kuhusu hili la uzazi wa mpango na NWO ?
Weka chanzo cha habari hiyo na njama hizo - ulipozitoa.Mkuu uzazi wa mpango ni mpango mahususi ulioandaliwa na NWO Cabal wa kupunguza watu dunianiani.Infavct Bill Gates hajaficha,he says he is offering 7billion plus US$ to depopulate Africa through Birth Control Programmes and abortions.Sasa ungetaka mkuu watu wawe blunt vipi zaidi kuhusu nia zao ovu against Africa and humanity in general.
Wanyanyasaji hawa mapimbi.Magufuli kasema hiyo kauli 2019
kwahyo 2019 mpaka sasa mtu meshazaa watot saba na wameanza shule analalamika maisha magumu?
Acheni kumuingizia maneno ambayo hakuyasema na hii watu wali misinterpreted statement yake bill gates alikuwa anazungumzia alikuwa anazungumzia kupunguza rate ya population growth na siyo population iliyopo by 10 _ 15% alisema vaccine na improved health care itasaidia kupunguza rate ya global population na matokeo yake ita lower carbon emissions. Akasema kwamba kuboreAha chanjo na huduma za kiafya itasaidia kwenye nchi maskini KWA sababu itasaidia kupunguza child mortality rate. Mkuu hayo mambo unayoongea uwe na hakika nayo watu wengi wali misinterpreted statement yake.Mkuu uzazi wa mpango ni mpango mahususi ulioandaliwa na NWO Cabal wa kupunguza watu dunianiani.Infavct Bill Gates hajaficha,he says he is offering 7billion plus US$ to depopulate Africa through Birth Control Programmes and abortions.Sasa ungetaka mkuu watu wawe blunt vipi zaidi kuhusu nia zao ovu against Africa and humanity in general.
Mkuu uzazi wa mpango ni mpango mahususi ulioandaliwa na NWO Cabal wa kupunguza watu dunianiani.Infavct Bill Gates hajaficha,he says he is offering 7billion plus US$ to depopulate Africa through Birth Control Programmes and abortions.Sasa ungetaka mkuu watu wawe blunt vipi zaidi kuhusu nia zao ovu against Africa and humanity in general.
I can't trust Bill Gates in anything he is a known Eugenist.Baba yake alikuwa Eugenist we know it,yeye ni Eugenist,unamtetea nini.Asiyejua labda wewe mdanganyika.Na mtu aliyeqoute hayo maneno siyo yeye anaitwa dr robert young. Usikulupuke wakati huelewi bill gates siyo mjinga kiasi hicho akaongea statement kama hiyo kama unafatilia interview zake na umsikilizi KWA makini na una akili ndogo utaishia kuambulia patupu. Jifunze kuwa na subira na kuacha kusikiliza maneno ya vijiweni
Sure,tusichukue dhambi na za bureNi rahisi kulaumu ndio maana ni kimbilio la wengi kuliko kutoa suluhisho. Hiyo assumption uliyoiweka ingekuwa ni kweli bhasi ungekuja na data za ongezeko la watu toka kauli imetolewa hadi leo lakini unachofanya ni kutaka kumuangushia mzigo wa lawama kana kwamba aliitoa nchi kwenye developed hadi LDC' status
Naweza nisikubaliane na Magu sehemu nyingi lakini msimtwike mizigo zaidi ya anayostahili
Wewe mwenyewe ulipo hapo Maisha MagumuMagufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.
Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia
Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Alisema 2016Magufuli kasema hiyo kauli 2019
kwahyo 2019 mpaka sasa mtu meshazaa watot saba na wameanza shule analalamika maisha magumu?
Baada ya kushindwa kusimamia hali ya uchumi na gharama za maisha kwa ujumla mnatafuta sababu kwa nguvuMagufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.
Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia
Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Kabisa 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾Sure,tusichukue dhambi na za bure
Nikikwambia unipe ushahidi wa unachoongea utabaki kuropoka sifahamu ILo ninachofahamu baba yake alikuwa lawyer Seattle, philanthropist na writer. Alafu usiame kwenye mada kudefend point YAKO utuonyeshe sehemu bill gates anasema anataka kupunguza waafrika niletee iyo clip anayoongea hayo maneno acha kuongozwa na hisia KWA sababu ulishasikia mtu akisema bill gates kuhusu kitu fulani ukalibeba kama lilivyo. Kama hauna ushahidi ukaae kimyaaI can't trust Bill Gates in anything he is a known Eugenist.Baba yake alikuwa Eugenist we know it,yeye ni Eugenist,unamtetea nini.Asiyejua labda wewe mdanganyika.
Ushahidi upo mwingi sana wa Bill Gates kuhusika na mipango mingi ya depopulation,na tumei-discuss sana JF,I do not know how you missed it.Nikikwambia unipe ushahidi wa unachoongea utabaki kuropoka sifahamu ILo ninachofahamu baba yake alikuwa lawyer Seattle, philanthropist na writer. Alafu usiame kwenye mada kudefend point YAKO utuonyeshe sehemu bill gates anasema anataka kupunguza waafrika niletee iyo clip anayoongea hayo maneno acha kuongozwa na hisia KWA sababu ulishasikia mtu akisema bill gates kuhusu kitu fulani ukalibeba kama lilivyo. Kama hauna ushahidi ukaae kimyaa
Una kichwa kigumu. Nilikueleza pale juu biilgates hajawahi kusema anataka kupunguza population iliyopo na ndicho nilichopinga. Anafanya improvement kwenye vaccine na kuadvance health care KWA ajili ya ku decrease population growth rate hizi ni sentensi mbili tofauti na ulichotafsiri wewe na sababu alizozitaja ni kama child mortality kuweza kupungua maana nchi nyingi za africa kuna high rates ya vifo vya watoto kutokana na miundombinu mibovu ya huduma za afya na upatikanaji wa chanjo. Halafu ndicho hicho hicho ulichotumia hapa. Ndo utuambia wewe. Mjuaji hiyo NWO, mara baba yake eugenisst unatangatanga kutafuta uongo na kutoelewa taarifa mara kusema anataka kupunguza population ya africa umevipata wapi?Ushahidi upo mwingi sana wa Bill Gates kuhusika na mipango mingi ya depopulation,na tumei-discuss sana JF,I do not know how you missed it.
Hata hivyo kwa jinsi unavyomtetea muuaji huyu,inaelekea mkate wako unamtegemea.Kama ni hivyo,pole kwa kupokea fedha inayotokana na kutoa roho za watu.
Anyway nisipoteze muda,ushahidi huu hapachini👇,tena from a very respected news source.
Bill Gates pledges $7 billion to control population and promote abortion in Africa
Friday, December 09, 2022
Big Tech mogul Bill Gates, co-chair of the Bill & Melinda Gates Foundation, has vowed to spend more than $7 billion in the next four years to develop and implement innovative approaches to control the population and promote abortion.
“Constantly reducing maternal mortality, constantly reducing neonatal mortality, under-five mortality, that’s really the metric that drives our foundation,” Gates said on November 17 while speaking with University of Nairobi students on his first trip to Africa since the Wuhan coronavirus (COVID-19) pandemic began.
According to the foundation’s website, this new commitment to support African countries is on top of existing Gates Foundation funding to multilateral organizations, including Gavi, the Vaccine Alliance and the Global Fund to Fight AIDS, tuberculosis and malaria.
“The big global challenges we face are persistent. But we have to remember, so are the people solving them,” Gates emphasized. Our foundation will continue to support solutions in health, agriculture and other critical areas and the systems to get them out of the labs and to the people who need them.”
However, critics believe that these “charitable works” are tied to ideological agendas – especially since the billionaire’s foundation has been associated with the promotion of abortion, which stands in sharp contrast to the predominantly pro-life culture of many African countries. (Related: Melinda Gates makes a $375 MILLION donation to the abortion industry to accelerate DEPOPULATION of blacks.)
Coalition of pro-life nations commemorate second anniversary of Geneva Consensus Declaration
On the same day of Gates’ visit to Kenya, a coalition of governments promoting women’s health policy convened at the U.S. Capitol to commemorate the second anniversary of the Geneva Consensus Declaration, an anti-abortion declaration cosponsored by the governments of Brazil, Egypt, Hungary, Indonesia, Uganda and the United States.
The 36 countries across five continents that signed the declaration are bound by the belief that women’s health should not be held hostage by ideological agendas and supports both women and unborn children in the pursuit of actual health care. The U.S. was a founding member of the coalition, but its membership was withdrawn by President Joe Biden immediately upon taking office.
The ambassador of Hungary to the U.S. Szabolcs Takács said during the occasion that the Hungarian government holds firm to the view that “every human being should have the right to life … and fetal life shall be subject to protection from the moment of conception.”
Ambassador Alfonso Quiñonez of Guatemala agreed. “Life starts at conception. For us there is no question,” he said. Quiñonez also relayed the message of Guatemalan President Alejandro Giammattei, that their country “will continue to fight for life in all stages from conception to natural death.”
The ambassador cited recent efforts of Guatemala to combat abortion activism at the United Nations as a testament to their pro-life commitment.
Meanwhile, an opinion piece published by LifeNews stated: “Big donors such as the Gates Foundation and the U.S. government should take heed of the Geneva Consensus. Governments at the receiving end of their ‘help’ can speak for themselves, and together, they are speaking loud and clear that every person is born with inherent dignity and the right to life, and real women’s health gains should never be held hostage by the abortion agenda.”
Follow Genocide.news for more stories related to the globalists’ moves to push depopulation.
Watch Bill Gates admit his involvement in depopulation programs in the video below.
This video is from the InfoWars channel on Brighteon.com.
More related stories:
Bill Gates funded the creation of a “vaccine passport” tracking system long before the coronavirus pandemic.
German parliament ratifies Agenda ID2020 and Bill Gates’ “vaccination package” for global depopulation.
The Bill Gates globalist vaccine depopulation agenda… as revealed by Robert F. Kennedy, Jr.
The Bill Gates depopulation plan is succeeding at culling human populations: Fertility rates plummeting around the world.
Sources include:
NewsPunch.com
GatesFoundation.org
ADFInternational.org
LifeNews.com
Brighteon.com
Halafu kwenye hiyo trip nairobi hakuzungumzia kuhusu population only that$7B ni pamoja na vitu kama hunger, poverty, disease, gender inequality na vinginevyo niliisikiza na nikaisoma. Umekuja hapa na hoja moja kwamba ni population alafu muuaji BADO huna content. PumzikaUshahidi upo mwingi sana wa Bill Gates kuhusika na mipango mingi ya depopulation,na tumei-discuss sana JF,I do not know how you missed it.