Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mwacheni apumzike kwa amani mzee wa watu, kipenzi cha Watanzania tulio wengi kwani mmezidi kumsingizia mambo hata yasiyomuhusu, mambo ya uzazi ni ya M/Mungu ambapo kwenye vitabu vyake vitukufu ametuambia tuje tuzaliane, tutawanyike na tuijaze dunia full stop.Magufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.
Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia
Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Zaa watoto hata 200 ila ukishindwa kuwalisha usiilaumu serikaliMwacheni apumzike kwa amani mzee wa watu, kipenzi cha Watanzania tulio wengi kwani mmezidi kumsingizia mambo hata yasiyomuhusu, mambo ya uzazi ni ya M/Mungu ambapo kwenye vitabu vyake vitukufu ametuambia tuje tuzaliane, tutawanyike na tuijaze dunia full stop.
Magufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.
Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia
Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Zaa utakavyo, ila usiilaumu serikali kuhusu bei ya vyakula ama vinginevyoDecember hii nimeongeza twins wamefika 6
Bado watatu
Mwenye kujua vyakula gani vinaongeza chance ya kupata twins hata triplets anisaidie tafadhali
Zaa utakavyo, ila usiilaumu serikali kuhusu bei ya vyakula ama vinginevyo
Mathanzua anasemaje kuhusu hili la uzazi wa mpango na NWO ?Magufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.
Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia
Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Acha ujinga weweee..!! Aliyezaa na ambaye hana mtoto wote wananunua mchele kilo 1 kwa Tshs 3,000/-Magufuli aliwadanganya watu kuzaa watoto wengi kadri wawezavyo sababu serikali inatoa elimu "bure"
Watanzania wengi wakiambiwa kitu na Rais basi wao hufuata tu.
Matokeo yake ndani ya miaka 7 mtu anazaa watoto 4, na hapo alikuwa na watoto wengine 3, jumla wanakua 7. Ukame kidogo umetokea bei za vyakula zimepanda, watu hawa ndio wanaanza kumpa lawama Samia
Kuna haja ya serikali kurudisha elimu ya uzazi wa mpango iliyofutwa na Magufuli. Wakulima wataendelea kuuza mazao yao nje kwa sababu hawajakutuma uzae hovyo.
Acha ujinga weweee..!! Aliyezaa na ambaye hana mtoto wote wananunua mchele kilo 1 kwa Tshs 3,000/-
Naona unataka kuwa incubator machine.December hii nimeongeza twins wamefika 6
Bado watatu
Mwenye kujua vyakula gani vinaongeza chance ya kupata twins hata triplets anisaidie tafadhali
Tunazaa na kutunza vizuri kabisa
Ulitaka wanunue shingimiatano?Acha ujinga weweee..!! Aliyezaa na ambaye hana mtoto wote wananunua mchele kilo 1 kwa Tshs 3,000/-
Naona unataka kuwa incubator machine.
Gharama za mchele wa 3000 kwa watoto 9 haitakua sawa na gharama za mchele kwa watoto 2Acha ujinga weweee..!! Aliyezaa na ambaye hana mtoto wote wananunua mchele kilo 1 kwa Tshs 3,000/-
Hujaelewa hoja wewe..!! Wote wanalia maisha magumu. Maana mfumuko wa bei unawagusa wote, wenye watoto na wasionaoUlitaka wanunue shingimiatano?
Nyie ndio mnalilia Samia awalishe, kulia mtandaoni kila sikuKauli za watu wanaolishwa utazijua tu
[emoji419][emoji419][emoji116][emoji116]View attachment 2483493View attachment 2483494
Kwa spidi hiyo miaka 7 ijayo vyumba vya madarasa vitapelea tukiongeza tozo msipige keleleMayai yapo, megu zipo, chakula kipo, amani ipo kwanini nisizae