Waliodanganywa na hayati Magufuli wazae watoto wengi ndio leo wanamlilia Rais Samia maisha ni magumu

Wapinzani walikuwa wanatuchelewesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye kawawaisha kwenye.......
 
Mashujaa wa nyuma ya keyboard wakikosa cha kuandika wanakuja na nyuzi za kitoto kama hizi.
 
Ukiwa laghai mwenye maneno matamu lazima utateka wengi sana kwa jamii yenye wajinga wengi kama Bongo,
Mwamposa alijaza uwanja wa taifa watu wanaamini miujiza yake
Sasa wewe unajiona mjanja kisa umekuwa CHAWA? Hahahhaa
 
Hiyo sample umeipata wapi? Mbona kuna wengine hatujawahi kuongeza hata mtoto mmoja tangu Magu aingie madarakanj hadi leo lkn life liko tight? Hebu tusolve matatizo yaliyopo badala ya kumkalia vibarazani Magu na huyo mama yenu kumpa kila lililo baya
 
Kama huweki takwimu utabaki kuwa mjinga tu.

Sensa ndio kipimo, tuambie watu wangapi wameongezeka kwa sababu ya kauli ya Magufuli.
 
Punguza dharau kijana, unamaanisha maisha yamekuwa magumu sababu watu wamezaa watoto wengi?
Unajua hata bei kilo ya maharage?
Atajulia wapi mkuu?

Anaishi kwa shemeji alikoolewa dadake! Si unajua wa Zanzibar wanavyorundikana?
 
Watu badala ya kuzalisha mazao wakawa bizw kuzaa watoto,mtoa mada yuko sahihi asilimia mia moja
Ondoka hapo kwa shemeji yako ndio utaelewa kama una koment ujinga ama la
 
Ccm mmekuwa kama mafala sasa,Yaani mnamshindanisha Samia na marehemu mtu ambaye hawezi amka kujibu tuhuma zenu,njaa itawashikishwa makalio
 
Aliwafanya watu kutofikiria kabisa!
Na kundi kubwa la wanyonge wavivu, wenye wivu na chuki likawa wafuasi wake huku akigawa pesa barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…