Waliodanganywa na hayati Magufuli wazae watoto wengi ndio leo wanamlilia Rais Samia maisha ni magumu

Una akili ndogo sana .

Kwani ugumu wa maisha una chagua watu??
 
Kumbuka kwamba kaongelea health issues.Sasa wewe kama unajua mambo,ni rahisi kujua kwamba issues za abortion na depopulation zinaingizwa kwenye programmes za afya,ingawa Climate Change nayo Ni big player kwenye depopulation,and he talked about it when he was in Nairobi.

Unajua,binadamu tupo wajinga sana.Bill Gates is supposed to be in jail,because his programmes are not for developing humanity,but rather to kill people.So for me he is not supposed to get a VIP reception as in Kenya,but to be captured and jailed as a murderer.
 
Ndo mana nakwambiaje wewe hujasoma taarifa KWA usahihi mkuu. Kwanza hajawahi kuzungumzia kuhusu abortion hapa africa hiyo issue ilikuwa ni marekani ROE VS WADE kipindi raia wanaandamana ipitishwe sheria ya abortion. Bill gates hajawahi kufund abortion yoyote ile kupitia foundation zake. Ila alisema hivi" every women have the right to decide whether and when to have children" hapo hapo ex- wife wake melinda kwenye interview alipoulizwa alisema hatuwezi kusapoti abortion kwasababu ni issue ya kisisasa zaid hivyo hatutaki kuingia kwenye migogoro. Ila wapo baadhi ya prominent na rich people kama Mackenzie scott ex wife wa Jeff bezos yeye alisapoti takirbani $275M, michael bloomberg n.k. ulichofanya wewe ni kuchanganya mafile huna lolote hajawahi kuzungumzia issue za abortion africa hiyo issue ilikuwa marekani. ACHA kusikiliza maneno ya vijiwe vya kahawq
 
December hii nimeongeza twins wamefika 6

Bado watatu

Mwenye kujua vyakula gani vinaongeza chance ya kupata twins hata triplets anisaidie tafadhali

Tunazaa na kutunza vizuri kabisa
Kuna kijiji huko Katavi kuna chemchem ukinywa maji yake miezi 3 lazima upate twins.
 
Ndugu tuachane,utasemaje ha-support abortion na nimekuletea ushahidi unao onyesha wazi kwamba atatoa hela za population control and abortion 7 billion.Bill Gates supports anything which leads to killing people.Nina ushahidi mwingi mwingi,mwingi sana unaonyesha wazi kwamba Bill Gates is a murderer.Wewe endelea kula hela zake chafu.
 
 

Kauli ya zaeni jpm kaitoa 2019,mpaka leo ni miaka 7!!!!

Miaka minee toka 2019 dada yako kashaongeza watoto wanne,mkumbushe kwamba kuna kazi nyingine za kufanya tofauti na kuzalishwa na shemeji yako kama panya.
Asimlaumu samia wala wewe kaka yake usimlaumu JPM ni ujinga wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…